JE,EMAIL ni Mawasiliano Rasmi Serikalini na Mashirika ya Umma-SIPATI PICHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JE,EMAIL ni Mawasiliano Rasmi Serikalini na Mashirika ya Umma-SIPATI PICHA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by newmzalendo, Apr 14, 2010.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Je Email ni Mawasiliano RASMI?Je serikalini maagizo ya Email yanapewa uzito sawa na maagizo ya katika karatasi-Printed Documents.
  na katika mashirika ya umma hili swala likoje?
  Unaweza kufukuzwa kazi by Email?

  Tuna Wizara ya Tecknohama,Tecknologia inakuwaje mpaka leo hatuna Formal gov email,kwani nimeona taasisi nyingi zikitumia hotmail,yahoo,etc.
   
 2. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ndugu hakuna wizara ya teknohama bali kuna kitengo cha ushauri wa teknohama kwenye offisi ya waziri mkuu na wizara ya mawasiliano na pia napenda kukumbushusha tu huwezi kufanya barua pepe kuwa rasmi kama katiba haitambui hivyo ,kama hakuna sheria zingine za mitandao zitakazoongoza suala hili , kama wilaya zote hazijaunganishwa na mtandao na kama mtandao huo haujasambaa maeneo mengi zaidi ya nchi na bila kuwa na taasisi ya kushugulilia masuala ya teknohama iliyohuru
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Sasa inakuwaje serikali inazindua website ya kudahili wanafunzi wa vyuo,tena waziri mkuu anshikilia kidete,na kuwa hutoweza kuingia university bila kutumia web application or mobile phone,
  hapa pana utata,hatuna sheria or muongozo wa kutumia hii tecknologia

  :(
   
 4. m

  mimi-soso Senior Member

  #4
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndugu mpaka sasa serikali yetu inaenda kwa makaratasi tu. bila karatasi hakuna kitu email tunatumiana umbea tu maofisini
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  duh!! thanks mimi-soso,
  kwa maneno mengine unaweza usitekeleze maagizo ya bosi,katibu mkuu or waziri,kama yakiletwa via email?kwa kuwa hayatakuwa mawasiliano rasmi ya serikali :)
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,489
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Kumbe ndo hivyo ..na computer maofisini huwa zinafanya nini?mapambo au?
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  yani hapo ndo tunasemage tanzania zaidi ya uijuavyo
   
Loading...