Je? e TV ile ya south Africa inatikana free tena au??

Burton86jm

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
616
183
Ni imani yangu kuwa unaikumbuka channel ya e TV ambayo ilikuwa inapatikana katika intelsat at 68 E degree KU,ambapo kwa sasa ni scramble channel,je ni angle ipi inapatikana free??
 
Ni imani yangu kuwa unaikumbuka channel ya e TV ambayo ilikuwa inapatikana katika intelsat at 68 E degree KU,ambapo kwa sasa ni scramble channel,je ni angle ipi inapatikana free??

hApooo mm nmewah kuulza ila wataalamu hawakunifumbua vzur ckuwaelewa kabsa
 
nahisi kuna channel e mbili, moja haina matusi

hapana zpo kbao.. Kuna e africa, e tv, e news na nyngnezo pia kuna e nyngne yenyewe ni kampuni tofaut inakua na herufi kubwa E
 
Mkuu vipi MBC's,DUBAI SPORTS zinapatikana kama FTA? Kama ndiyo je Dish size gani ni muafaka?

mbc ya bure ni ngumu sana. Ipo ya kulipia nayo gharama yake hipo juu kwa sie marofa. Dubai spot hiyo unaweza kuipata tena bure dish ft 6 . Hili upate mbc .abuzabi na aljazeera . Inatakiwa upate dish c band ft8 au ku ft 6. Dekoda ya humax mpeg 4 hdmi
 
bora hata wameacha kama ilivyo kwa itv. Walikuwa wanaonesha viaz 2. Ki2 kimechezwa mwezi olopita, wenyewe wana kionesha leo

hata e.tv wapo wiki 3 nyuma but ni bora kuliko itv.,itv walikuwa miezi 2 nyuma
 
mbc ya bure ni ngumu sana. Ipo ya kulipia nayo gharama yake hipo juu kwa sie marofa. Dubai spot hiyo unaweza kuipata tena bure dish ft 6 . Hili upate mbc .abuzabi na aljazeera . Inatakiwa upate dish c band ft8 au ku ft 6. Dekoda ya humax mpeg 4 hdmi
Hiyo Abhu zabi,ni baadhi ya mikoa huku kwetu ni ngumu saana kupatikana hata kwa dish futi 10 bado bila bila.

Toka Burton sat shop.
 
Chanel e kwa sasa unaweza kuipata bure ila sio mojakwamoja ni kwa muda wakati wa news au eufa champion leage juma4.
 
Chanel e kwa sasa unaweza kuipata bure ila sio mojakwamoja ni kwa muda wakati wa news au eufa champion leage juma4.

tupe satellite ,frequency ambapo inapatikana tuanze kucheza na dish,ila ni fut6 mkuu
 
Asttra 4A/Ses 5 @ 4.8E FR 12734 V 4430. Ila wanabadilisha hiyo 34 ya mwisho mara 10, 16, 22, 30, 40.
 
tena saa 6 ucku,. Ila mm shda yangu n wwe tuu na movie
I hope hizi e.tv zipo mbili as hata kwenye package za Dstv ipo sana na hali kadhalika na Star times ipo but hizo movies za saa sita usiku hakuna kwa sasa kwani ikigonga saa sita ni news kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom