Elections 2010 Je,Dr.W Slaa anaweza kuteuliwa kuwa mbunge kama akikosa nafasi ya urahisi?

Man U

Member
Nov 1, 2010
5
0
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
 
members pls i need ur political inteligence......... Can he get nominated in the special seats?

Ni vyema kama ingewezekana mimi ningependa sana kumuona mjengoni akimwaga cheche zake,
 
nadhani itabidi iwe hivyo, na ikiwa hivyo basi CCM wamekwisha
 
Kwa sheria za uchaguzi hawezi tena kuwa Mbunge kama akishindwa kuwa Rais.

Ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.

"..... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ..." (Godbless Lema, MP)
 
yes he can get the chance but it must be amongs the 10 reserved chances given to the president to select mp in his willing so if jakaya wishes to include slaaaa then atarudi mjengoniiiiii.viti maalum hawezi kupata sababu majina walishayapendekeza wenyewe chadema na tayari wameshayapeleka
 
Only the President can appoint him out of his 10 slotted seats.....ila anaweza kugombea Uspika bila ya kuwa mbunge...which is most likely akapata
 
kwa sheria gani acha uongo we JAFAR hukumbuki mrema alishindwa uraisi 1995 na akagombea ubunge kupitia uchaguzi mdogo na kushinda kupitia jimbo la TEMEKE
 
Kwa sheria za uchaguzi hawezi tena kuwa Mbunge kama akishindwa kuwa Rais.

Ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.

"..... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ..." (Godbless Lema, MP)
kwas sheria hawezi kugombea bali anaweza kuwa nominated :)
 
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
:smile-big: viti maalum??? ah sijui sana apo ngoja waje watu wa chadema watakujuza apo. Kimsingi akirudi kwenye ubunge Heshima yake itakuwa imeshuka sana apo! (atakuwa kama Lyatonga) Kwani ina maana alikuwa hajui anataka nini yeye mwenyewe??? alishinikizwa??? amishakubali kushindwa urais??? Je nguvu ya umma imemkimbia??? anahitaji kuhurumiwa??? je hana mipango mbadala akikosa urais??? kwani ni lazima aendelee kuwa Mbunge??? ni RAHISI SANA, AMWAMBIE MCHUNGAJI AJIUZULU NA KURUDI KANISANI AGOMBEE UPYA KARATU.

nisamehewe apo juu
 
Au Achukue form ya Uspika wa bunge, lakini chama cha kijani kina wabunge wengi, sasa sijui itakuwaje
 
Ila tusijali sana, tusubiri matokeo ya urais, kama mmenote wanatangaza sehemu ambazo CCM imeshinda tu kuleambako Dr Slaa ameshidnda Tume imeshikilia kwanza.
 
Siwezi comment as sijui kasheria ka Tanzania apo kanasemaje.
Ila kama wanappeal matokeo baadhi ya maeneo then ikikubalika yeye asimame kama mgomea its okey nadhani
 
nadhani tujadili hili baada ya kura za rais kutangazwa zote, kimsingi aliyofanya slaa yamekua historia nayatabaki hivyo nawanaharakati wajao wataendelea kumkumbuka daima kama mtu alieleta mabadiliko ya kweli yakifikra ktk watu wakawaida wakatambua uwezo na nguvu walizonazo ktk masuala yaungoz.Nionanyo mimi Slaa ni rais kwangu hata kama hataingia mjengoni.
 
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?

Dr Slaa hajawahi kugombea URAHISI. Urahisi amepewa JK ili awe Rais. Nijuavyo, Dr Slaa anawania kuwa Rais
 
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?
Yes anaweza kuteuliwa mbunge, mwenye uwezo huo ni Rais JK pekee.

Ni bahati mbaya sana, JK hana hekima ya kiwango hiki. Ikumbuke ni JK ndie alimteua Hamad Rashid, na juzi juzi alimteua Ismail Jussa. Vivyo hivyo ana uwezo wa kumteua Dr. Slaa kuingia mjengoni ila JK hawezi kufanya hivyo kwa sababu kuu mbili.

1. JK ni mtu wa visasi, usimuone usoni anakuchekea, moyoni ni kitu ingine.
2. Dr. Slaa ni upanga wa ukweli wa makali kuwili, hivyo ililihenyesha sana bunge, akimrudisha bungeni, inamaana, atakubali CCM injinjwe kabisa kifo kitakatifu 2015.
 
Hoja yako ina nia nzuri sana na inafanana na hii, Jee Simba wanaweza kufanya kazi ya kusajili wacheza Yanga?
 
members pls i need ur political inteligence......... can he get nominated in the special seats?

Kwa mtazamo wangu mimi nadhani ni vizuri Slaa akabaki katibu mkuu wa chama kwa ajili ya kukijenga chama, kuhakikisha chama kinatanuka kufika sehemu nyingi za bara na visiwani, hili ni jambo la muhimu sana na litatusaidia sana kuwa na chama imara.

Kazi hii ni nzito sana, na pia akiwa nje still tuna vichwa vya kutosha sana bungeni sioni kama kutaharibika kitu. We need to build a strong CHADEMA.
 
nadhani tujadili hili baada ya kura za rais kutangazwa zote, kimsingi aliyofanya slaa yamekua historia nayatabaki hivyo nawanaharakati wajao wataendelea kumkumbuka daima kama mtu alieleta mabadiliko ya kweli yakifikra ktk watu wakawaida wakatambua uwezo na nguvu walizonazo ktk masuala yaungoz.Nionanyo mimi Slaa ni rais kwangu hata kama hataingia mjengoni.

Kula kumi!!!
 
Back
Top Bottom