Mkuu Kipilime tafadhari na wewe sahihisha usemi wako, hapa JF kuna watu na heshima zao wala si wote ni waropokaji na wapiga majungu kama vile hawana kazi maalumu, tuheshimiane Bwana!!!!!!!!!!
Mtumishi Wetu mimi ni mtu Muungwana. Naomba radhi sana kwa wale nilliowakosea heshima. Lakini naomba tusaidiane pale ambapo watu wanaonekana ni wapiga majungu, kwa kuwa tunaona wanachoandika na michango yao. Heshima zenu wakubwa ila sitowakalia kimya hata kidogo wapiga majungu. Heshima tele Mtumishi Wetu