Siku ya 9 Desemba rais Dr.Magufuli akiwa eneo la Feri kufanya usafi wa mazingira aliwashauri wavuvi wadogo wadogo kuunda ushirika ambao kupitia huo angeweza kuwasaidia. Aliwaasa wachague viongozi wa kikundi chao ambao wangewatetea wanakikundi na SIO KUCHAGUA VIONGOZI WANAOACHA KUTETEA maslahi ya wananchi/wanakikundi na HUBAKI KUTETEA SERIKALI/ viongozi wa serikali.
Kikawaida, mwenendo wa kutetea serikali na kuacha kutetea wananchi ndio mwenendo na SIFA KUU ya wabunge wengi wa CCM.
Kikawaida, mwenendo wa kutetea serikali na kuacha kutetea wananchi ndio mwenendo na SIFA KUU ya wabunge wengi wa CCM.