Ni haki yako kikatiba ndugu. Kila la kheri mkuu.
Nimepata cha kuandika
Kinehe wang'wise?Karibu Sana.
Tunaenda nae kulitia ADA TADEAMtemi Usinisahau kwenye ile kamati yako ya kampeni. Wewe ni Rais wetu ajaye!! Bora tukupigie kura wewe ila siyo magufuli.
Ila chama kitakacho kudhamini ili upate hiyo nafasi ya kugombea, bado hujatuambia wapambe wako!!🙄
Weweee namuona first lady Wangari Maathai ikulu.. usinitupe best..
Kipindi hiko ukiitwa wangati maathai Kisandu
Weweee namuona first lady Wangari Maathai ikulu.. usinitupe best..
Kipindi hiko ukiitwa wangati maathai Kisandu
Na kwanini umekuja Na id mpyaa mtemi kisandu?
Mkuu wahi Milembe, hujachelewa
We ni mgonjwa unadhani urais ni kutoka buguruni kwenda postaHahaaaaaa
We ni mgonjwa unadhani urais ni kutoka buguruni kwenda posta
There are things you can invest faith not politics brother!Faith is on what is impossible.....
Ulipo tupo