Je, Dodoma linapikwa kuja kuwa jiji namba moja ukanda huu?

Af kwa taarifa yao tu ni kwamba wakati Dar inazd kwenda level za kna joburg tumeshaachana nayo tumehamia Dodoma tunataka Dodoma iipe changamoto Dar mana ake baada ya mwaka ujao story kwa Google Earth itakuwa hv

The best cities in East and Central Africa
1: Dar ES salaam(Tanzania)
2: Dodoma(Tanzania)
3: Nairobi(Kenya)
4: Mwanza (Tanzania)
5: Arusha (Tanzania)
6: Kigali (Rwanda)
7: Kampala (Uganda)
8: .......

Sasa nyie komaeni na mji mmoja mana wakenya wote c mnaishi Nairoba
Dar Tz
Zanzibar Tz
Arusha Tz
Mwanza Tz
Dodoma Tz

Mikoa inayokua kwa kasi Tz yenye hadhi ya kuitwa majiji makubwa africa few years to come, also japo iringa na kilimanjaro ni maniciple but ni bigger and developed than kisumu which is a city to poor minded kenyans, In kenya there is only Nairobi and the tiny town of mombasa. Other parts of kenya is full national parks and deserts, no even clean water for cattles
 
Hii kitu itaanzia Nanenane, Jamatini, Kisasa, Area D, hadi UDOM,
Naitamani sana Dodoma ya miaka 10 ijayo.
 
Dar Tz
Zanzibar Tz
Arusha Tz
Mwanza Tz
Dodoma Tz

Mikoa inayokua kwa kasi Tz yenye hadhi ya kuitwa majiji makubwa africa few years to come, also japo iringa na kilimanjaro ni maniciple but ni bigger and developed than kisumu which is a city to poor minded kenyans, In kenya there is only Nairobi and the tiny town of mombasa. Other parts of kenya is full national parks and deserts, no even clean water for cattles
U r right bro... we have many cities to feel proud of in contrary they have only one city and u talked about Iringa munipal for real it's a very nice upcoming city
 
Sasa Nairobi unailinganisha na Nairobi??? Acha ujinga

Dodoma bado ni mji mdogo ndo unakuwa hata Nairobi,dar zilianza hivyo
Ukinionyesha nyumba ya matope mjini Nairobi NCBDA ndani naihama hii Nairobi na JF yote, huko Dodoma niliiona nyumba za matope mjini ndani CBDA.
 
Sasa Nairobi unailinganisha na Nairobi??? Acha ujinga

Dodoma bado ni mji mdogo ndo unakuwa hata Nairobi,dar zilianza hivyo

Hamna sehemu nimelinganisha Nairobi na Dodoma, actually hamna mji huko unaokaribia hata nusu ya Nairobi....nilikua namjibu huyo aliyesisitiza kuna nyumba za tope katikati mwa mji wa Nairobi kama ilivyo Dodoma.

Hamna level ya Nairobi ukanda wote huu...

img.jpg
 
name me one planned city without public facilities! Conference halls r public facilities! Hujui hata maana ya planned city! Uache ujinga! Huo ni ufala manga! Unaanza kuchukua picha za highway ati ku-claim za watu! Kwani umeambiwa barabara hiyo ipo Dodoma au barabara kama hiyo itajengwa?
Kwhyo arusha nayo ni planned city..manake ile hall yao imejengwa si kitambo
 
Kwhyo arusha nayo ni planned city..manake ile hall yao imejengwa si kitambo
Ya aicc ipo kitambo as old as Kicc! na kuna plenty of conference centers even bigger than aicc! A city has to have basic amenities! BTW Arusha is way better planned than Nairobi!

1574494794556.jpeg

Tanzania convention center at Ngurdoto Mountain lodge

images

3071da26_z.jpg

9b31cd1c_z.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom