Je, discontinue anaweza kupata mkopo

Remy Tem

Member
Dec 5, 2020
15
7
Jamani naomba mwenye uelewa wowote juu ya jambo hili anisaidie,Je discontinue student anaweza tena kupata mkopo kutoka heslb na ilishaawahi kutokea hivo? ahsanteni
 
Yaani unachota mkopo halafu unadisko makusudi; then next semester ya mwaka mwingine wa masomo unachota tena mkopo halafu unadisko makusudi, and on and on and on. Tanzania kwa kweli ni nchi tajiri sana, vinginevyo raia wote tungeshauzwa ili kufidia madeni ya lazima yasiyolipika.
 
Hakna anae disco makusudi
 
Unalipa asilimia 25 ya pesa uliyotumia kabla ya kudisco Kisha unaomba tena mkopo
 
Back
Top Bottom