Je diploma watapata nafasi mwaka huu kwenda degree??

lilraq12345

Member
May 25, 2017
13
17
Kuhusu hii admission mpya iliyotolewa na TCU na kuhusu cut point na marks zilitumika mwaka Jana na zitakazo tumika mwakahuu I mean grade atueleweshe nahic kama 4m 6 waliomaliza wengi mwaka Jana wameenda diploma he utapata nafac mwaka huu kwa viwango hivyo kwenda degree??
 
Mwaka wa jana walibadilisha vigezo ambavyo ndo hivyo vitatumika mwaka huu. Sababu moja serikali ilitoa kwa nini walifanya hivyo ni kupeleka vijana wazuri zaidi kwenda kuchukua diploma na sio degree. Hivyo kwa ujumla tusitegemee mabadiliko makubwa kama ugumu wa mitihani na vichwa vyetu havitapishana na hali ilivyokuwa mwaka jana.
 
Back
Top Bottom