PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Habar zenu wana jf kwa muda mrefu nimekuwa nikiona kwenye mtandao wa kijamii wa instagram mashabiki damu wa diamond platnumz wakipost kila tangazo ambalo diamond kaingia mkataba eg. Vodacom na redgold tomato sasa sijajua kama hawa mashabiki wanaopost haya matangazo kama wanalipwa na diamond au ni mahaba yao tu kwa msanii wao??