Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,997
- 20,329
View attachment 330094 View attachment 330094 View attachment 330094
View attachment 330094
Picha hizo ni Dinosari toka makumbusho ya taifa mjini Berlin Ujerumani. Dinosori hawa walipelekwa Ujerumani kabla ya vita kuu ya kwanza ya dunia, ni wetu toka Tendaguru Tanzania ambao wanalingizia taifa la Wajerumani mabilioni ya fedha za Kitalii,
kwamjibu wa Karl Lyimo Ujerumani huingiza kiasi cha €282 millions kwa mwaka kupitia utalii wa Dinosori hawa pale Berlin sawa na Shilingi za kitanzania 692,310,000,000
Tanzania ipo usingizini kwa miaka yote tangu uhuru, zaidizaidi watawala wamejitahidi kuiba na kuuza twiga, fisi panya hai nk huko Arabuni kwa kwa faida ya kikundi kidogo cha watu wasiozidi kumi tu kati ya Watanzania milioni hamsini.
Mjerumani Karl Lyimo anashauri tusidai mali hizi zirudishwe Tanzania maana hatutazitunza vizuri ila tudai tuwe tunagawana mapato yake. Hili ni wazo zuri sana, lakini watawala wanatilia mkazo ulinzi wa madaraka kuliko mali hizi.
Vyovyote vile huu ni utajiriasili wetu! Wakati wakuchukua mapato yetu ni sasa. Mh Rais Magufuli, chanzo kingine kikubwa cha mapato ni hiki.