NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,002
Haswaa uo ni mzigo,ila usiamaki.
Waone wataalam wa afya.
Waone wataalam wa afya.
Umepata tiba gani mkuu?Mambo yalianza kama hivi nilikuwa nahisi joint za miguu zinauma,baadae nikawa nasikia baridi,kisha Zikaja dalili za mafua,homa ikawa kali kichwa kikawa kinauma sana na joto la mwili likaongezeka na mwili ukawa hauna nguvu.na kushindwa kulala usiku ni kuweweseka tu,hali hii inakufanya usitake kubanduka kitandani kwa kuwa unahisi hauna nguvu kabisa.Baada ya kupata tiba angalau nimetengamaa japo kikohozi bado kipokipo na kinaishia.Je wakuu hizi zinaweza kuwa dalili za UVIKO
Ahsante chifu dawa zina majina magumu sana ila miongoni mwa hizo dawa zipo zile zenye rangi mbili mchanganyiko wa amoxylin na dawa nyingineUmepata tiba gani mkuu?
Pole sana kwa kupitia kipindi hiki
UNAJISIKIAJE?Nami naumwa jmn nanimjamzito
Upuuzi, sijawahi kuishi kwa wasi wasi in my entire life... Ila napenda kujua hatari iliyopo mbele yangu ni kubwa to what extent.Wakati mwingine wasiwasi juu ya ugonjwa fulani unaweza kukupa dalili zifananazo na unachohofia
Juice ya miwa is purely sucrose, Yaani two molecules of glucose... Plus of course water... Swali la kujiuliza ni what are other sources of glucose???Ningekuwa kiongozi ningeweka Sheria kila MTU anywe juisi ya miwa..
Tangu nianze kunywa juisi ya miwa.sijawahi kuumwa malaria Wala kichwa wala ugonjwa Wowote.
Naamini hata Corona haiwezi kunipata
Juice ya miwa is purely sucrose, Yaani two molecules of glucose... Plus of course water... Swali la kujiuliza ni what are other sources of glucose???
Wk iliyopita nilikua nahoma nimeenda hosp 3 tofaut napima Sina ugonjwa napewa pcm tu, Sasa jpil nikaanza mafua, kikohozi kikavu nikivuta hewa kwa ndan naumia Sana miguu haina nguvu,,, pia nisipokunywa Panadol homa kali Sana ...nawaza Sana Mimi ni mjamzitoUNAJISIKIAJE?
Polee Mungu akuponyeWk iliyopita nilikua nahoma nimeenda hosp 3 tofaut napima Sina ugonjwa napewa pcm tu, Sasa jpil nikaanza mafua, kikohozi kikavu nikivuta hewa kwa ndan naumia Sana miguu haina nguvu,,, pia nisipokunywa Panadol homa kali Sana ...nawaza Sana Mimi ni mjamzito
tiba gani umepata?Mambo yalianza kama hivi nilikuwa nahisi joint za miguu zinauma, baadae nikawa nasikia baridi, kisha Zikaja dalili za mafua, homa ikawa kali kichwa kikawa kinauma sana na joto la mwili likaongezeka na mwili ukawa hauna nguvu na kushindwa kulala usiku ni kuweweseka tu, hali hii inakufanya usitake kubanduka kitandani kwa kuwa unahisi hauna nguvu kabisa. Baada ya kupata tiba angalau nimetengamaa japo kikohozi bado kipokipo na kinaishia.
Je, wakuu hizi zinaweza kuwa dalili za UVIKO
unaendeleaje?Wk iliyopita nilikua nahoma nimeenda hosp 3 tofaut napima Sina ugonjwa napewa pcm tu, Sasa jpil nikaanza mafua, kikohozi kikavu nikivuta hewa kwa ndan naumia Sana miguu haina nguvu,,, pia nisipokunywa Panadol homa kali Sana ...nawaza Sana Mimi ni mjamzito
mchunga au machungwa?Nilishapona mkuu, nilifululiza Kula mchungaa mpaka virusi vikakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi kuhusu miguu kukosa nguvu?Dalili kubwa za covid;
Joto kali la mwili
Kikohozi kinachoendelea hata kwa dakika moja
Kupoteza uwezo wa kunusa
Mapigo ya moyo kuwa juu.
Wagonjwa wengi huishia kwenye dalili mbili za kwanza na hupona.
Ni fatigue baada ya mashambulizi ndiyo maana haspitali philysio wanaanza kukupa mazoezi mapemavipi kuhusu miguu kukosa nguvu?
phylsio ndo nini.so mtu akijisikia uchovu inabidi awahi hospitalNi fatigue baada ya mashambulizi ndiyo maana haspitali philysio wanaanza kukupa mazoezi mapema