Je, dalili hizi zinaashiria nimeambukizwa Corona?

Dah nimepitia the same situation 3 weeks ago. Nimekula sana malimao, tangawizi na spices kwenye chai. Nilinnua dozi ya paracetamol kutuliza maumivu ya kichwa niliimaliza yote.
 
Dalili kubwa za covid;
Joto kali la mwili
Kikohozi kinachoendelea hata kwa dakika moja
Kupoteza uwezo wa kunusa
Mapigo ya moyo kuwa juu.

Wagonjwa wengi huishia kwenye dalili mbili za kwanza na hupona.
 
Mambo yalianza kama hivi nilikuwa nahisi joint za miguu zinauma,baadae nikawa nasikia baridi,kisha Zikaja dalili za mafua,homa ikawa kali kichwa kikawa kinauma sana na joto la mwili likaongezeka na mwili ukawa hauna nguvu.na kushindwa kulala usiku ni kuweweseka tu,hali hii inakufanya usitake kubanduka kitandani kwa kuwa unahisi hauna nguvu kabisa.Baada ya kupata tiba angalau nimetengamaa japo kikohozi bado kipokipo na kinaishia.Je wakuu hizi zinaweza kuwa dalili za UVIKO
Umepata tiba gani mkuu?

Pole sana kwa kupitia kipindi hiki
 
Ningekuwa kiongozi ningeweka Sheria kila MTU anywe juisi ya miwa..
Tangu nianze kunywa juisi ya miwa.sijawahi kuumwa malaria Wala kichwa wala ugonjwa Wowote.
Naamini hata Corona haiwezi kunipata
 
Ningekuwa kiongozi ningeweka Sheria kila MTU anywe juisi ya miwa..
Tangu nianze kunywa juisi ya miwa.sijawahi kuumwa malaria Wala kichwa wala ugonjwa Wowote.
Naamini hata Corona haiwezi kunipata
Juice ya miwa is purely sucrose, Yaani two molecules of glucose... Plus of course water... Swali la kujiuliza ni what are other sources of glucose???
 
UNAJISIKIAJE?
Wk iliyopita nilikua nahoma nimeenda hosp 3 tofaut napima Sina ugonjwa napewa pcm tu, Sasa jpil nikaanza mafua, kikohozi kikavu nikivuta hewa kwa ndan naumia Sana miguu haina nguvu,,, pia nisipokunywa Panadol homa kali Sana ...nawaza Sana Mimi ni mjamzito
 
Polee Mungu akuponye
 
Mambo yalianza kama hivi nilikuwa nahisi joint za miguu zinauma, baadae nikawa nasikia baridi, kisha Zikaja dalili za mafua, homa ikawa kali kichwa kikawa kinauma sana na joto la mwili likaongezeka na mwili ukawa hauna nguvu na kushindwa kulala usiku ni kuweweseka tu, hali hii inakufanya usitake kubanduka kitandani kwa kuwa unahisi hauna nguvu kabisa. Baada ya kupata tiba angalau nimetengamaa japo kikohozi bado kipokipo na kinaishia.

Je, wakuu hizi zinaweza kuwa dalili za UVIKO
tiba gani umepata?
 
Wk iliyopita nilikua nahoma nimeenda hosp 3 tofaut napima Sina ugonjwa napewa pcm tu, Sasa jpil nikaanza mafua, kikohozi kikavu nikivuta hewa kwa ndan naumia Sana miguu haina nguvu,,, pia nisipokunywa Panadol homa kali Sana ...nawaza Sana Mimi ni mjamzito
unaendeleaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom