Je, CRDB bank hutoa huduma ya Western Union

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,251
Jamani nipo vijijini nauliza je bank ya CRDB kama inatoa huduma ya Western Union kama benki nyingine?
 
Haitoi huduma hiyo. Wewe nenda mjini utapata huduma utauliza huko huko ni wapi huduma inapatikana.
 
Back
Top Bottom