Sham777
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 334
- 836
Habari..
Najua wengi tumeathirika kiuchumi kutokana na janga hili la Covid19. Wengine tumesimamishwa kazi, wengine Biashara zao haziendi kama ilivyo kuwa mwanzo na wengine mishahara yao hupokea nusu tofauti na mwanzo na kupelekea uchumi wao kuyumba kiasi kwamba hata mahitaji muhimu ya kibinadamu imekuwa shida kuyapata..
Tusaidiane mbinu ambazo zitasaidia kupunguza ukali wa maisha kipindi hichi ambacho hakijulikani ni cha mpito ama cha kudumu. Sio lazima ziwe za kuingiza kipato tu, pamoja na jinsi ya kuishi kwa kipato kidogo (budgeting),
Mbinu binafsi ninazo tumia mimi.
Nimeacha kula nje (Mighahawani, hotelini) hivyo napika mwenyewe nyumbani, Nimepunguza matumizi ya Vocha (1Gb dk 100 week nzima). Nimepunguza matumizi ya umeme, silipi tena Vin'gamuzi habari napata mitandaoni au kwenye channel za nyumbani..
Kama unazo zako naomba uziandike ili wahanga wote wa Covid19 kiuchumi tuzipitie.
NB.