Je, Corona imekuongezea ugumu wa maisha? Fanya hivi ...

Sham777

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
307
1,000
Habari..

Najua wengi tumeathirika kiuchumi kutokana na janga hili la Covid19. Wengine tumesimamishwa kazi, wengine Biashara zao haziendi kama ilivyo kuwa mwanzo na wengine mishahara yao hupokea nusu tofauti na mwanzo na kupelekea uchumi wao kuyumba kiasi kwamba hata mahitaji muhimu ya kibinadamu imekuwa shida kuyapata..

Tusaidiane mbinu ambazo zitasaidia kupunguza ukali wa maisha kipindi hichi ambacho hakijulikani ni cha mpito ama cha kudumu. Sio lazima ziwe za kuingiza kipato tu, pamoja na jinsi ya kuishi kwa kipato kidogo (budgeting),

Mbinu binafsi ninazo tumia mimi.

Nimeacha kula nje (Mighahawani, hotelini) hivyo napika mwenyewe nyumbani, Nimepunguza matumizi ya Vocha (1Gb dk 100 week nzima). Nimepunguza matumizi ya umeme, silipi tena Vin'gamuzi habari napata mitandaoni au kwenye channel za nyumbani..

Kama unazo zako naomba uziandike ili wahanga wote wa Covid19 kiuchumi tuzipitie.

NB.
 
guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
1,907
2,000
Miye ni mtumishi katika idara moja Serikalini,
Baada ya korona kuanza ili kupata mahitaji ya kila siku ikabidi nibuni miradi wa kuchoma mishikaki ya mia mia

Nagemea nemba nzima ya ng"ombe kwa10000 ambayo ukiikata vizuri na ng'ombe kama ni mnene basi inatoa mishikaki 150 hadi 250

Sasa ukitoa mkaa wa buku,viungo vya kero na dharura zingine kila siku nalaza ndani si chini ya 5000 au 15000

Na mara nyingi siku ikiwa nzuri uwa ninatumia saa moja au mawili kuimaliza mishikaki.

Hakuna kodi wala tozo kwani mishikaki naichomea pembezoni mwa barabara kwenye yale mataa ya Magufuli

Changamoto zipo,kiafya lile joto siyo zuri hivyo kila siku nina lita moja ya maziwa ambayo huyagandisha.

Nina mpango wa kutafuta chaka jipya ambako nitakuwa napata nemba moja kwa 5000 au chini ya hapo ili faida irange kati ya 15000 au 17000 kwa kila nemba moja.
Hivyo kama kwa siku nitachoma nemba tano basi faida yake ni kati ya ya 75000 au 119000

Kama kuna sehenu nemba zahuzwa kwa bei chini ya 10000 basi nishtue ili nizamie huku wakati kazi za Serikali kwa kada yangu zimesimama.
 
Aiseee nashukuru sana kwa hii .. Umenipa njia nzuri ya kunisaidia angalau kuingiza kipato .. Huu mwezi hauishi lazima niwe nimesha fungua na mim hii ofisi hata nikipata 5000 kwa siki inanitosha kabisa .. Asante sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,006
2,000
Mwisho wa yote tukumbuke tu, corona italeta "new normal" ya maisha!
 
rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,004
2,000
Miye ni mtumishi katika idara moja Serikalini,
Baada ya korona kuanza ili kupata mahitaji ya kila siku ikabidi nibuni miradi wa kuchoma mishikaki ya mia mia

Nagemea nemba nzima ya ng"ombe kwa10000 ambayo ukiikata vizuri na ng'ombe kama ni mnene basi inatoa mishikaki 150 hadi 250

Sasa ukitoa mkaa wa buku,viungo vya kero na dharura zingine kila siku nalaza ndani si chini ya 5000 au 15000

Na mara nyingi siku ikiwa nzuri uwa ninatumia saa moja au mawili kuimaliza mishikaki.

Hakuna kodi wala tozo kwani mishikaki naichomea pembezoni mwa barabara kwenye yale mataa ya Magufuli

Changamoto zipo,kiafya lile joto siyo zuri hivyo kila siku nina lita moja ya maziwa ambayo huyagandisha.

Nina mpango wa kutafuta chaka jipya ambako nitakuwa napata nemba moja kwa 5000 au chini ya hapo ili faida irange kati ya 15000 au 17000 kwa kila nemba moja.
Hivyo kama kwa siku nitachoma nemba tano basi faida yake ni kati ya ya 75000 au 119000

Kama kuna sehenu nemba zahuzwa kwa bei chini ya 10000 basi nishtue ili nizamie huku wakati kazi za Serikali kwa kada yangu zimesimama.
Nemba ndo nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umomi

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
683
1,000
Mimi baada ya kufunga vyuo nikarudi nyumbani Mwanza. Nikiona nianze kufanya biashara fulani hivi ambayo mtaji wake nilianza na Tsh 8,000 nakumbuka cku ya kwanza nilipata faida 1500 make nilichukua mzigo mbaya sana. Ila kwa sasa cjuti make nachukua mzigo Tsh 10000 au 12000 nakula faida 5000 mpaka 8000 kwa cku tena namaliza mzigo mida ya saa 5 asubuhi.

Aisee sema kweli ninachokifanya huwa sinywi chai ngengeni naendaga kunywa home nikimalza mzigo. Afu nimejiwekea malengo ya kila wiki nanunua mbuzi mmoja mdogo wa Tsh 30,000 mpaka 35,000
 
troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
15,282

Tatizo husemi ni biashara gani?
 
guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
1,907
2,000

Attachments

  • 20200512_073026.jpg
    File size
    584.3 KB
    Views
    0

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
2,595
2,000
Mimi baada ya kufunga vyuo nikarudi nyumbani Mwanza. Nikiona nianze kufanya biashara fulani hivi ambayo mtaji wake nilianza na Tsh 8,000 nakumbuka cku ya kwanza nilipata faida 1500 make nilichukua mzigo mbaya sana. Ila kwa sasa cjuti make nachukua mzigo Tsh 10000 au 12000 nakula faida 5000 mpaka 8000 kwa cku tena namaliza mzigo mida ya saa 5 asubuhi.

Aisee sema kweli ninachokifanya huwa sinywi chai ngengeni naendaga kunywa home nikimalza mzigo. Afu nimejiwekea malengo ya kila wiki nanunua mbuzi mmoja mdogo wa Tsh 30,000 mpaka 35,000
Biashara gani hiyo mkuu ulianza na buku nane
 
jacana

JF-Expert Member
May 24, 2020
251
250
Nemba ndio nn??
Miye ni mtumishi katika idara moja Serikalini,
Baada ya korona kuanza ili kupata mahitaji ya kila siku ikabidi nibuni miradi wa kuchoma mishikaki ya mia mia

Nagemea nemba nzima ya ng"ombe kwa10000 ambayo ukiikata vizuri na ng'ombe kama ni mnene basi inatoa mishikaki 150 hadi 250

Sasa ukitoa mkaa wa buku,viungo vya kero na dharura zingine kila siku nalaza ndani si chini ya 5000 au 15000

Na mara nyingi siku ikiwa nzuri uwa ninatumia saa moja au mawili kuimaliza mishikaki.

Hakuna kodi wala tozo kwani mishikaki naichomea pembezoni mwa barabara kwenye yale mataa ya Magufuli

Changamoto zipo,kiafya lile joto siyo zuri hivyo kila siku nina lita moja ya maziwa ambayo huyagandisha.

Nina mpango wa kutafuta chaka jipya ambako nitakuwa napata nemba moja kwa 5000 au chini ya hapo ili faida irange kati ya 15000 au 17000 kwa kila nemba moja.
Hivyo kama kwa siku nitachoma nemba tano basi faida yake ni kati ya ya 75000 au 119000

Kama kuna sehenu nemba zahuzwa kwa bei chini ya 10000 basi nishtue ili nizamie huku wakati kazi za Serikali kwa kada yangu zimesimama.
 
jacana

JF-Expert Member
May 24, 2020
251
250
Jamaa biashara gani hiyo nataka nije huko.niendeleze maisha Namibia kama ni mtaji ninao wa kutosha
Mimi baada ya kufunga vyuo nikarudi nyumbani Mwanza. Nikiona nianze kufanya biashara fulani hivi ambayo mtaji wake nilianza na Tsh 8,000 nakumbuka cku ya kwanza nilipata faida 1500 make nilichukua mzigo mbaya sana. Ila kwa sasa cjuti make nachukua mzigo Tsh 10000 au 12000 nakula faida 5000 mpaka 8000 kwa cku tena namaliza mzigo mida ya saa 5 asubuhi.

Aisee sema kweli ninachokifanya huwa sinywi chai ngengeni naendaga kunywa home nikimalza mzigo. Afu nimejiwekea malengo ya kila wiki nanunua mbuzi mmoja mdogo wa Tsh 30,000 mpaka 35,000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom