Je Computer Science na Information Technology ipi bora zaidi???

Thank you.. hopefull nawe ni mdau wa hivi vitu..
Ndiyo.

Kusoma IT na CS ngoja nikupe mfano mmoja utaelewa ninamaanisha nini.

Ni sawa na kuchagua mpira wa miguu na michezo.... Michezo ukiijumuisha mpira wa miguu upo humo ndani, mtu anakuwa na chaguzi afanye kipi. Ila mpira wa miguu ushajipambanua unafanya kimoja tu.

Computer science iite michezo
IT iite Mpira wa miguu
 
Yaaaap hapo nimekupata broh.. nadhani mwenyewe atapenda aende wapi...
ahsante sana mkuu
 
Ndiyo.

Kusoma IT na CS ngoja nikupe mfano mmoja utaelewa ninamaanisha nini.

Ni sawa na kuchagua mpira wa miguu na michezo.... Michezo ukiijumuisha mpira wa miguu upo humo ndani, mtu anakuwa na chaguzi afanye kipi. Ila mpira wa miguu ushajipambanua unafanya kimoja tu.

Computer science iite michezo
IT iite Mpira wa miguu
mfano mmoja mzuri sana..
 
Itabidi ajipinde hasaa lol

my concern is,kila course ya IT inabadilika haraka sana na maendeleo ya teknolojia..hivyo itabidi aji-update kila mara
Yep! naona kashajianda maana huko hakuhitaji utani kabisa.. mambo ni magumu. i wish nami niingie kwenye hiki kitu nione mambo yakoje haswa
 
zote safi tu ila comput sayansi nasikia kuna mihesabu ya kufaga mtu na na watu wanaosoma comp sayansi wanaijua hasa computer nje ndani na katika level ya chini sana na wa IT wanaijua computer katika level ya juu level ya chini maana yake wako deep dana kuhusu computer na level ya juu maana yake wanaisoma kwa level isiyo deep
 
Kifupi ni kwamba Computer Science anaweza some cozi zote za IT ila IT awezi soma coz zote za Comp Science
 
zote safi tu ila comput sayansi nasikia kuna mihesabu ya kufaga mtu na na watu wanaosoma comp sayansi wanaijua hasa computer nje ndani na katika level ya chini sana na wa IT wanaijua computer katika level ya juu level ya chini maana yake wako deep dana kuhusu computer na level ya juu maana yake wanaisoma kwa level isiyo deep
Ahsante sana mkuu kwa mchango wako
 
Hizi mada tushazichoka humu zimezungumzwa sana mleta Uzi kabla ya kupost jaribu kutafuta nyuzi za zamani zilishaongelea hizi mada.
 
Ukichoka wewe haimaanishi kila mtu kachoka kama umechoka si unapita zako tu baba.Mtu atajuaje kama hii mada imeshawahi kuwasilishwa humu
 
Fikiria kabla hujaandika...nimesema kabla ya kupost jaribu kuserch humu nyuz za zaman..sikuna option ya kuserch hapo juu..
 
Hujalazimishwa kuchangia au kufungua huu uzi.. kama unaona huu uzi umekuchosha vaa nguo uende kwenu
 
That's my boy..!! Ahsante sana mkuu Joe
Mkuu niambiie sasa kwa hizo mbili achukue zipi???
Soma yoyote sababu kwenye job market hazina tofauti hata watu wa telecom wanafanya kazi za IT, halafu kama alivosema mkuu hapo, go extra mile. Usiishie kwenye notes za darasani.
 
Itabidi ajipinde hasaa lol

my concern is,kila course ya IT inabadilika haraka sana na maendeleo ya teknolojia..hivyo itabidi aji-update kila mara
[/QUO
1. Database
2.networking
3.programing
4.E-commerce
5.graphics design
Achague anataka kuwa mkali wa nini katika IT.
 
Itabidi ajipinde hasaa lol

my concern is,kila course ya IT inabadilika haraka sana na maendeleo ya teknolojia..hivyo itabidi aji-update kila mara
i eat fear as a breakfast, kama ingekua ni mimi ningeenda kusoma hiyo hiyo ngumu coz naona vitu vigumu ndio vinanifaa
 
CS atadeal na
anatomy of digital computer
Data processing
Computer software
Operating system
Data communication and networking
Fundamental of internet and Java programming
Control statements
Inheritance extending classes
Classes objects with constructors and destructors
Computing exploration in language, logic, and machine
Foundation of computer science
Pointer
File
OOP
Root
Philosophy of computer science
.
.
.
.
.
List goes on
Kaka nimekubali sanaaa
 
Back
Top Bottom