Je, cmd wanakurupuka?

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Salaaam kwenu enyi wana JF,
Binafsi nafuatilia walau kwa kila hatua kile kinachoendelea ndani ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA M AENDELEO. Pengine ninashawishika kuandika mengi juu ya mambo yalivyo..Labda niseme tu kuwa bila UNAFKI, Mimi ni mwanachama wa CDM..Sasa nachoomba kujua kutoka kwenu nyinyi mnaojiita Great Thinkers, ""Dr. Slaa (PhD) jana katoa tamko na msimamo wa chama juu ya mambo kadhaa yanayoendelea ndani ya chama,1. Juu ya msimsamo thabiti kutokumtambua KIKWETE kuwa Rais kwa sababu tuu process iliyomweka katika mamlaka ilikuwa na kasoro..2. Kuhusu naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe,na sakata la kutenda kinyume na maazimio ya Wabunge wenzake wa CDM,
HOJA:::''' JE INAWEZEKANA KATIKA YOTE HAYO,UONGOZI UMEKURUPUKA KWA KUTOA MAAMUZI YANAYO-CONTRADICT ( Mfano; kutomtambua Rais KISIASA kwa sababu tu uozo wa njia uliomweka madarakani,wakati huo huo mkisema nchi ina Rais),
na "" je kumuacha Zitto kabwe kuendelea na Wadhifa zote wakati ni mtu anayeonesha ni kigeugeu,asiye aminika???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom