Je, Chenge, Ngereja na Muhongo kutimuliwa CCM?

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Najariibu kujisomea hapa katiba yangu ya chama nijipatie vipengele vya kuwabana hawa mafisadi waliotajwa karibu na kila kamati ya uchunguzi. Tunasubiri tu barua kutoka kwa Spika ili tuwashughulikie, je tuwafukuze chamani muda utaongea!! Ahsante.
 
CCM kwenye suala LA wizi hawafukuzani kwa sababu suala LA wizi kwa ccm ni kawaida. wanaweza kusemana tu na penyewe hii inatokea pale ambapo hawana namna
 
Ngeleja kumbuka alikuwa mgombea urais kupitia chama cha makanikia
 
Najariibu kujisomea hapa katiba yangu ya chama nijipatie vipengele vya kuwabana hawa mafisadi waliotajwa karibu na kila kamati ya uchunguzi. Tunasubiri tu barua kutoka kwa Spika ili tuwashughulikie, je tuwafukuze chamani muda utaongea!! Ahsante.
Usijaribu kazi au shughuli usio na mikoba au na kipaji, utaumbuka.
Chenge waachane nae kama kweli wanataka Mkapa,Kikwete na mawaziri wakuu wastaafu wao wasiguswe.
 
Kwa Mwenyekiti wa sasa chenge ni mwepesi mno!
 
Back
Top Bottom