sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,564
- 11,478
Nenda mkapa pale siku ya simba na yanga kisha chukua takwimu ya wanaoingia waliochanja na wasio chanja ndio utajua.Mimi nampongeza sana mama kaamua kuruhusu chanjo Kama ambavyo nchi zote wanafanya hatuwezi kujitenga na dunia mpaka lini tungeendelea kuogopa mikusanyiko wakati wenzetu walishaachana na matumiz ya barakoa kila kapata chanjo yake