CCM kwa sasa inapita majaribuni kabla ya uchaguzi mkuu 2020. Kuna dalili kubwa baadhi ya wabunge wa CCM watafyekwa kwenye uchaguzi mkuu, Je watakubali kuwa huo ndio mwisho wao wa siasa ,hapani ,LAZIMA watataka kurudi bungeni kwa njia nyingine, nina maana wagombee kupitia vyama vingine vya siasa
Je, Membe atatulia mpaka Magufuli amalize kipindi chake cha awamu ya pili , Huenda akaibuka na chama kipya cha siasa na kuwavuta wabunge wote wa Kusini. Ikumbukwe NAPE aliwahi kuwa mwanzilshi wa chama kipya cha siasa ambacho kilivunjwa kabla ya kusajiliwa.
Membe , Nape na Makamba uwezo wanao na sababu wanayo