Je, Chadema Wanaweza Kuongoza Nguvu Ya Umma Ya Ukweli Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Chadema Wanaweza Kuongoza Nguvu Ya Umma Ya Ukweli Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shinto, Feb 7, 2011.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni katika siasa za kimataifa kumekuwa na wimbi la watu kufanya mabadiliko ya utawala dhalimu kwa style ya maandano na civil disobedience maarufu kama "nguvu ya umma". Mifano ni mafanikio kule Tunisia na harakati zinazoendelea Misri na Yemen. Kumekuwa na mazungumzo mengi hapa TZ hasa na wana Chadema kwamba watatumia nguvu ya umma kudai haki zao au kufanya mabadiliko ya uongozi ikibidi.
  Sina objection na hili wazo ila hofu yangu ni kuwa: Silaha kubwa ya nguvu ya umma ni umoja thabiti wa wananchi. Nguvu ya umma haiwezi kufanikiwa kama kuna mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wananchi wenyewe.

  Chadema kwa siku za karibuni imenufaika na kustawi kwa sababu ya migawanyiko. Directly au indirectly imenufaika na migawanyio ya kidini, kikanda au kikabila iliyopo hapa Tanzania kwa sasa. Kumbuka vile vile sera kuu ya Chadema ya kuwepo kwa majimbo inapingwa kwa sababu inachochea migawanyiko.

  Sasa je, Chadema inaweza kuongoza effective nguvu ya umma?
   
 2. k

  kiloni JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Another WHITEWASHING STATEMENTS AGAIN!
  CRAPPPPPPPP!!!!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  wasiwasi wako tu,ebu niambie usiemwamini safu ya uongozi wa chadema ni nani hasa,.....acha uoga na hizo consipiracy zako za udin,ukabila mara ukanda.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mimi naona CDM wanachelewa/hawasomi alama za nyakati. Tunataka kiongozi wa haya mambo ili tuung'oe huu uongozi wa kifisadi.
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kuna issues ambazo CHADEMA wana-advocate ambazo zinagusa watanzania wote....mfano suala la umeme,malipo ya DOWANS,elimu ya juu,uwe mwislamu,mkristo,mpagan.....uwe mhehe,mzaramo,msambaa au uwe na elimu yeyote ile kama mtanzania zinakugusa tu....hapo ndo utakapojua watanzania ni wamoja......Migawanyiko itaendelea kuwepo lakini katika migawanyiko hiyo vipo vitu/issues ni zinamhusu kila mtanzania na hapo ndo nguvu ya umma itakaposhida tofauti zenu binafsi.
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wanaweza...
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Chadema haiwezi hata siku moja,ila inachoweza ni kuwashawishi wananchi na kuwawacha solemba !! Kitu kikuu nikionacho Chadema inaweza kukifanya kwanza ni kujiondoa katika udini au kama itabaki huko iwashawishi wananchi wawe kitu kimoja bila ya kujali itikadi zao kichama au kidini ,hapa Tz tuna CCM hatuna akina Hosni Mubarak au Kigwabe. Hilo ni tatizo ,kinachowezekana ni kuyakataa matokeo na kumkana Raisi kama mshindi halali au ushindi kama ule wa CCM kukataliwa kwa nguvu za umma ,kwa madai ya kurudiwa kwa uchaguzi na zaidi ni kuikataa serikali kama ikiundwa ,Chadema walijaribu lakini wakaingia mitini,pale ndipo tungeweza kushikilia mpaka kieleweke ,sasa tuwaulize CDM kwanini walilegea ?
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kufanya kitu kinachofanyika Misri na Yemen au Tunisia kwa Tanzania ni ngumu kutokana na nguvu ya dola kuwa upande wa Serikali. Kilichotokea Misri na kinachoendelea kina mkono wa dola, na Tunisia vilevile!
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  hiyo dola ni li-jitu fulani hivi haliwezi kushikika??

  CDM hawawezi kwa sababu hawawezi na kuwalaumu ni kuwaonea tu! bado hata wananchi wenyewe bado hawahawa tayari maneno tu meeengi mdomoni, tukisema twende jangwani sasa hivi tutaanza 10 ubungo jangwani watafika 2!!! issues za maisha magumu zikiwa critical we will not wait for CDM hii kuuliza tu ni ishara tosha hakuna shida bado
   
 10. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umesahau kututajia aliyekutuma.
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ndo maana mimi nasema kafu bila kuwa serikalini wangeweza ila kwa sasa wamekuwa mamluki!
   
 12. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wataandama wananchi wenyewe sio CDM.
   
 13. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Chadema can do
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tatizo siyo chadema?

  Tatizo ni Kwanza, madai yenyewe ni feki na yametolewa ufafanuzi wenye mantiki na wananchi wanaelewa

  Pili, Chadema wanafiki wengi pale..tukipeleka kinachoelelweka kwa Mbowe nawaambia atatoweka "tunamtuma Sabodo" kwisha kazi

  Tatu, Slaa ni mdini sana huyo mzee hakuna anaweza kumuamini kwenye harakati za nchi..

  Until then!
   
 15. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kumbuka kuwa Chadema hawajawahi kuhubiri migawanyiko, wamehubiri mambo ambayo ni kero kwa watanzania wengi. Wamepinga ufisadi hadharani, hicho ndicho kilichoipandisha chat, Kabla ya Zitto na Slaa kusimaa kidete dhidi ya ufisadi, chadema haikuwa na umaarufu kama sasa. Sera ya majimbo ni nzuri katika kurahisisha utendaji, kuna baadhi ya huduma mpaka uende Dar ndo uzipate, Lakini kama kuna migawanyo ya majimbo mambo yanarahisishwa. Hofu na siasa za migawanyiko zimeletwa na ccm maana wanajua watanzania tunaogopa migawanyo.
  Chadema kitaendelea kuwa maarufu kama kitaimarisha nguvu ya intelejensia yake, na kufanya mbambo kwa haki.
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  diagnosis ya kawaida kabisa inaonyesha kwamba una mtindio wa ubongo na akili yenye maporomoko
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama yako au siyo?
   
 18. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna wanaJF wanadhani CHADEMA wanaweza kwa kufuata mtindo wa Tunisia. Hivi ni kutowaelewa vizuri viongozi na sera za chama hiki. Kama mwanachama niliye karibu sana na uongozi, naomba nifafanue kidogo:

  CHADEMA wana wabunge 48 na wameweza kuunda Upinzani rasmi Bungeni. Wametangaza sera zao na kuzifafanua hasa wakati ule Willibrod Slaa akizunguka Tanzania nzima akigombea kiti cha u-Rais. Wametangaza sasa kwamba watatembelea bila kuchoka, nchi nzima, sio tu kueleza zaidi sera zao, bali pia kuimarisha chama mpaka ngazi ya kaya na kitongoji.

  Bungeni wataendelea kuibua ubovu na ufinyu wa sera na utekelezaji wa Serikali ya CCM. Leo hii viongozi wa CDM wamechambua jinsi inavyodhihirika kwamba uongozi wa CCM hata kwa ngazi ya juu kabisa umechanganyikiwa. Haieleweki Rais anawezaje kutofahamu viongozi wa Dowans. Kuongopa hadharani kwa kiongozi wa taifa!!!!!!!!!

  Bungeni wanaweza kuibua hata hoja ya "No Confidence" kwa kiongozi kuongopa na kuwachanganya Watanzania.

  Mtindo huo sio mtindo unaofanana na wa Tunisia. Ni mtindo wa "classic democracy". Lakini hapa CDM wana advantage kwa vile wananchi wameanza kuwapenda sana. Na kwa upande wa CCM, wahasimu wao wakuu, inaonekana wanaendelea kugawanyika kila kukicha na kufanya ufisadi kila idara, bila kujali maslahi ya wanyonge. Katiba Mpya ikipitishwa ni vema Watanzania wakaanza na uongpzi wa CDM.

  Baada ya kikao cha Bunge linaloanza kesho tarehe 8 Februari, tutaona jinsi siasa za Tanzania zitakavyosisimka kutokana na OPERESHENI SANGARA YA AINA MPYA. Hakuna kulala mpaka kieleweke!
   
 19. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Hapo kwenye red ndio kwenye mgogoro. Wananchi unaowa refer ni wa dini fulani, kabila fulani au kanda fulani. Hilo halijengi umoja wa kitaifa!
  Wote tumeshuhudia jinsi uongozi wa Chadema na CDM JF wing wanavyowadharau watanzania wa Zanzibar. Ubaguzi ndio mtaji mkubwa wa Chadema!
   
Loading...