Je, Chadema kuwa Na. 2 jimbo la Uzini Udini umeshindwa?

Kwa kuanzia na hapa Jf wadini walaaniwe na kizazi chao chote milele na milele

Mke,
Haya maneno yako ni mazito sana na ya ujenzi.

Lakini tatizo lako unakosea tafsiri ya Udini..kuwa mkweli kama unafuata mafundisho ya Yesu. Hivi kweli Wadini wa JF ni hao watatu tu?

Hivi kwako hakuna Mkiristo hata mmoja mdini?
 
Sasa naomba hata kama unakumbuka title ya thread mimi nitakusaidia kuitafuta na waombe Mods vile vile wakusaidie ili tuiweke hadharani nami nijipige BAN kama itathibitika kuwa nimeandika hicho ulichonena.

Nakushauri sana uwe makni na yakini sana katika kuthibitisha kile unachoandika.

kama sijakosea ama sijasahau ilikuwa siku ya jumapili ambapo nafikiri Mbowe alikuwa anaelekea Zanzibar. Nadhani ilikuwa ndio siku ya uzinduzi wa kampeni. Kuna thread kama sijakosea hiyo thread ilikuwa na picha picha, ilikuwa inaelezea Dr Slaa amekwenda kusali kanisa moja hivi sikumbuki vizuri, ambapo baadae alikuja kukanusha akasema mida ile wanaelekea airport kumpokea kamanda Mbowe, sikumbuki title fresh!
 
Salaam kwa Malaria Sugu, Rejeo, Ritz, Faizay Fox na wengine wanaoamini katika udini.

Tumeaminishwa kwamba chadema ni chama cha wakristo lakini kimeshika namba 2 kwenye uchaguzi wa jimbo la Uzini, Zanzibar mbele ya CUF ingawa wapo wanaoamini kwamba CUF ni chama cha Waislamu kimekuwa namba 3.

Hakuna chama cha kidini nchi hii.

Uchaguzi huu umetusaidia kujua kwamba kauli mbiu ya udini inachochewa na kundi la watu wachache kwa maslahi yao binafsi lakini naapa hawatashinda. Wenye haki ya kuzuia udini watashinda.

Faizay Fox na wenzake wamejaribu sana kuitangaza chadema ni chama cha wakristo, mnasemaje kuhusu hili JF.

Nafikili mwenye kuanzisha thread hii ndio mdini mkubwa, Tatizo lako hujui historia ya Zanzibar na wazanzibar kabisa, kiufupi ni kwamba CUF ni miongoni mwa vyama visivyokubalika katika majimbo mengi ya unguja na kwa wazanzibar hasa wa unguja hii ni normal na haishangazi hata kidogo katika siasa za u-unguja na u-pemba, mfano ni kura hewa (maarufu kama marohani za pemba), pia aliyegombea CDM ni Ali Mbarouk Mshimba na aliyegombea CUF ni Salma Hussein Zarali sijajua una relate vipi udini hapo ikiwa wote hao ni watu wa dini moja?
Mwisho ni kwa wachanagiaji wengine hivi nini mnaangalia wa kwanza ana kura 5,377 na wa pili ana kura 281 kweli ni sehemu ya kujipongeza hapo? kumbe mnashindana na CUF sio CCM? nilifikili nia ni kuiondoa CCM iliyo madarakani kumbe nia ni kushika namba ya PIli.
 
Siasa za Znz ni tofauti.

Je unajuwa kwanini CUF wapo tayari kurudia uchaguzi jimbo la WAWI kule kwa Hamad Rashid.

Kumbuka kile chama kule kina ngome zake na hizo piga ua majibu utayapata.

Kumbuka 2003 uchaguzi wa majimbo ya Pemba, nani alipata kura nyingi (kura zilizoharibika na zile zisizo haribika) na kuleta utata mkubwa sana kwenye Sheria za uchaguzi.

Nilibainisha hilo ni somo tosha kujua Hakuna kutumia nguvu nyngi wakti unajuwa fika utashindwa.

Tunampongeza Mh Raza.

Kwa hali ilivyo sasa CUF imekufa unguja na pemba.Matokeo ya jana ni mfano mmoja.Lakini anayeizika kabisa kwa sasa ni Hamad Rashid.Wadadisi wa kisiasa wanadai mapokezi aliyopata Hamad Rashid alipoenda jimboni kwake hatajawahi kutikea kwa kiongozi yeyote katika kipindi cha miaka kumi.Siasa za Pemba zimebadilika sana.CUF sasa itabaki historia
 
Mke,
Haya maneno yako ni mazito sana na ya ujenzi.

Lakini tatizo lako unakosea tafsiri ya Udini..kuwa mkweli kama unafuata mafundisho ya Yesu. Hivi kweli Wadini wa JF ni hao watatu tu?

Hivi kwako hakuna Mkiristo hata mmoja mdini?

Nina imani kubwa laana hiyo inaweza kumrudia mwenyewe kama atashindwa kutoa tafsiri ya mdini ni nani. na kigezo gani kinachotumika kumtambua mdini ni nani.

Kwa hali ilivyo sasa CUF imekufa unguja na pemba.Matokeo ya jana ni mfano mmoja.Lakini anayeizika kabisa kwa sasa ni Hamad Rashid.Wadadisi wa kisiasa wanadai mapokezi aliyopata Hamad Rashid alipoenda jimboni kwake hatajawahi kutikea kwa kiongozi yeyote katika kipindi cha miaka kumi.Siasa za Pemba zimebadilika sana.CUF sasa itabaki historia

Kwani hata Mbowe una ujumbe wake walipata mapokezi mazito sana na makubwa sana huko Unguja hususan kule Uzini. Na taarifa zilikuwa tunapewa update na wengi sana akiwemo Dr Slaa kuhusu maendeleo ya kampeni kule Uzini.

Je matokeo umeyaona?

Hiyo ndio Znz na wenyewe ni waZnz mkuu. Kisanduku cha kura ndio msumari wa mwisho kabisaaaaa kuamua.

Mke,
Haya maneno yako ni mazito sana na ya ujenzi.

Lakini tatizo lako unakosea tafsiri ya Udini..kuwa mkweli kama unafuata mafundisho ya Yesu. Hivi kweli Wadini wa JF ni hao watatu tu?

Hivi kwako hakuna Mkiristo hata mmoja mdini?

hata wakristo wadini walaaniwe na kizazi chao milele na milele. Wadini wa JF wako wazi tutakapoandaa orodha ya wadini hatutajali dini ya mtu tumechoka sana na wanashiriki kueneza sumu ya udini.

Mdini hana alama bali ni matendo yake na kauli zake vinatosha kuthibitisha kilicho ndani ya moyo mtu kuhusu hisia za imani zetu. Wenye subira na uvumilivu hapa Jf pia tunawafahamu bila kujali dini ya mtu ama mkristo au mwislamu.

sikuwa na maana wadini ni waislamu tu bali thread imelenga wale niliowafuatilia wakishiriki kueneza sumu za udini na ukristo kwa chadema hapa JF ndiyo nikataja majina yenu na kuwakumbuka kuwa mna maoni gani juu ya matokeo ya uzini.
 
Kwa kuongezea uliyoyaandika kwenye uchaguzi wa 2010 CUF ilishika nafasi ya pili.Na kwa kura za mwaka juzi CUF ilipata kura 353 na uchaguzi huu wamepata kura 223 na hiyi ni pungufu ya kura 130. Tuwape CUF pole.
.

Natumaini utakuwa unazungumzia uchaguzi mkuu. Kuongezea tu, katika uchaguzi huo kwa nafasi ya uwakilishi, CHADEMA haikuweka mgombea. Iliweka mgombea ubunge, ambaye alikuwa mshindi wa pili, nyuma ya mgombea ubunge wa CCM. CUF walikuwa nyuma ya CHADEMA vile vile kama ilivyotokea juzi katika uchaguzi mdogo.
 
Kwani hata Mbowe una ujumbe wake walipata mapokezi mazito sana na makubwa sana huko Unguja hususan kule Uzini. Na taarifa zilikuwa tunapewa update na wengi sana akiwemo Dr Slaa kuhusu maendeleo ya kampeni kule Uzini.

Je matokeo umeyaona?

Hiyo ndio Znz na wenyewe ni waZnz mkuu. Kisanduku cha kura ndio msumari wa mwisho kabisaaaaa kuamua.

Matokeo yameonekana kwavCDM kuipita CUF pamoja na fitna zote za udini
 
.

Natumaini utakuwa unazungumzia uchaguzi mkuu. Kuongezea tu, katika uchaguzi huo kwa nafasi ya uwakilishi, CHADEMA haikuweka mgombea. Iliweka mgombea ubunge, ambaye alikuwa mshindi wa pili, nyuma ya mgombea ubunge wa CCM. CUF walikuwa nyuma ya CHADEMA vile vile kama ilivyotokea juzi katika uchaguzi mdogo.

Asante kwa ufafanuzi mzuri.Ritz amekalia kudanganya watu hapa kwenye uchaguzi mkuu CDM iliweka mgombea kwenye uwakilishi
 
Tuacheni ushabiki usio na tija na tueleze ukweli halisi. Uhakika ni kwamba kwa jinsi matokeo yalivyotoka katika jimbo la Uzini ni Aibu, Fedheha na Masikitiko makubwa kwa CHADEMA! Ikumbukwe kwamba CHADEMA walipeleka ujumbe mzito sana kule Uzini na walipania kujinyakulia jimbo na au kupata kura nyingi sana pindi wakilikosa, pamoja na mapesa waliyotumia, gharama walizogharamika, muda waliopoteza, fujo walizofanya, matumaini waliyojipa lakini mwisho wa siku wameangukia pua kwa kupata kura ambazo hazikufika hata 1000!! Ni fedheha kubwa na wenzetu hawa wanastahiki kupewa pole kulikoni hata pole anayopewa mwenye kufiliwa! Kazi kubwa munayo kwa majimbo ya Zanzibar! Jipangeni tena tunawasubiri kwa mara nyengine tena 'home ground' Wawi pamoja na Hamad Rashid wenu tutawatoa manundu huku mukiambulia kilio; si muda mrefu sana mambo yatakua hadharani.
 
hata wakristo wadini walaaniwe na kizazi chao milele na milele. Wadini wa JF wako wazi tutakapoandaa orodha ya wadini hatutajali dini ya mtu tumechoka sana na wanashiriki kueneza sumu ya udini.

Mdini hana alama bali ni matendo yake na kauli zake vinatosha kuthibitisha kilicho ndani ya moyo mtu kuhusu hisia za imani zetu. Wenye subira na uvumilivu hapa Jf pia tunawafahamu bila kujali dini ya mtu ama mkristo au mwislamu.

sikuwa na maana wadini ni waislamu tu bali thread imelenga wale niliowafuatilia wakishiriki kueneza sumu za udini na ukristo kwa chadema hapa JF ndiyo nikataja majina yenu na kuwakumbuka kuwa mna maoni gani juu ya matokeo ya uzini.

Mke,
Sasa mbona umeweka majina matano ya Waislam wadini tu hakuna hata jina moja Mkiristo mdini?

Huoni mpaka hapo wewe ni Mdini Mkiristo?
 
Tuacheni ushabiki usio na tija na tueleze ukweli halisi. Uhakika ni kwamba kwa jinsi matokeo yalivyotoka katika jimbo la Uzini ni Aibu, Fedheha na Masikitiko makubwa kwa CHADEMA! Ikumbukwe kwamba CHADEMA walipeleka ujumbe mzito sana kule Uzini na walipania kujinyakulia jimbo na au kupata kura nyingi sana pindi wakilikosa, pamoja na mapesa waliyotumia, gharama walizogharamika, muda waliopoteza, fujo walizofanya, matumaini waliyojipa lakini mwisho wa siku wameangukia pua kwa kupata kura ambazo hazikufika hata 1000!! Ni fedheha kubwa na wenzetu hawa wanastahiki kupewa pole kulikoni hata pole anayopewa mwenye kufiliwa! Kazi kubwa munayo kwa majimbo ya Zanzibar! Jipangeni tena tunawasubiri kwa mara nyengine tena 'home ground' Wawi pamoja na Hamad Rashid wenu tutawatoa manundu huku mukiambulia kilio; si muda mrefu sana mambo yatakua hadharani.

Ama kweli mnafiki chakula ya mamba.Wape pole mke wa CCM na wafuasi wake.CDM imepata ushindi mkubwa dhidi ya propaganda za udini.Viongozi wa CDM hongereni sana
 
Nafikili mwenye kuanzisha thread hii ndio mdini mkubwa, Tatizo lako hujui historia ya Zanzibar na wazanzibar kabisa, kiufupi ni kwamba CUF ni miongoni mwa vyama visivyokubalika katika majimbo mengi ya unguja na kwa wazanzibar hasa wa unguja hii ni normal na haishangazi hata kidogo katika siasa za u-unguja na u-pemba, mfano ni kura hewa (maarufu kama marohani za pemba), pia aliyegombea CDM ni Ali Mbarouk Mshimba na aliyegombea CUF ni Salma Hussein Zarali sijajua una relate vipi udini hapo ikiwa wote hao ni watu wa dini moja?
Mwisho ni kwa wachanagiaji wengine hivi nini mnaangalia wa kwanza ana kura 5,377 na wa pili ana kura 281 kweli ni sehemu ya kujipongeza hapo? kumbe mnashindana na CUF sio CCM? nilifikili nia ni kuiondoa CCM iliyo madarakani kumbe nia ni kushika namba ya PIli.

Ni kweli CUF haikubaliki unguja kama ilivyo pemba lakini hiyo haindoi ukweli kwamba chama chenye asili ya bara hakikutegemewa kuwa cha 2
 
Back
Top Bottom