Je, Chadema kushiriki uchaguzi mdogo Kinondoni na Hai?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Inasemekana hiyo ni ajenda moja kati ya mbili zitakazojadiliwa kesho. Inapendekezwa Chadema isimamishe mgombea Hai na Cuf ya maalim Seif itasimamisha mgombea Kinondoni. Kinachohofiwa ni uwezekano wa Nec kumkata mgombea wa Cuf ya maalim Seif na kumpitisha yule wa Prof Lipumba, hivyo inaangaliwa plan B ya mtu wa maalim kugombea kupitia Chadema kama ilivyokuwa kwa mzee Juma Duni Haji. Ni hayo machache. ahsante!!
 
Tupe updates ya jinsi ccm inavyoshinda huko kwenye uchaguzi wa marudio. Huwa tunaona mkileta taarifa, mbona leo uchaguzi umekuwa kama uji uliopoa tena usio na sukari?
 
Wagombea wote wa CCM wameshinda kwa kishindo!
 
Ni vyema Chadema na Ukawa wakashiriki uchaguzi huo ili hao "walionunuliwa" tuwaonyeshe kuwa dhambi waliyofanya haisameheki!

Suala la kulinda kura tuachiwe sisi wananchi
wenyewe......

Na Polisi watuachie mambo ya siasa tupambame na wanaccm na wao kazi yao muhimu ni kutulinda Raia na mali zetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom