Je, CHADEMA itapata kisingizio cha kujitoa kwenye uchaguzi?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Baada ya kuzidiwa kwa hoja katika kipindi hiki cha kampeni ni wazi CHADEMA inatamani kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi ila sababu ya kufanya hivyo inakosekana.

Option iliyoko mezani ni kufanya vurugu ili wapate mkong'oto wa polisi ili waje na tamko la kujitoa kwenye uchaguzi.

Tusubiri tuone huu utabiri wangu.
 
tapatalk_1517641030403.jpeg

IMG_20180128_005922.jpg

IMG_20180128_005321.jpg

Live long Mtulia
 
Baada ya kuzidiwa kwa hoja katika kipindi hiki cha kampeni ni wazi Chadema inatamani kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi ila sababu ya kufanya hivyo inakosekana.

Option iliyoko mezani ni kufanya vurugu ili wapate mkong'oto wa polisi ili waje na tamko la kujitoa kwenye uchaguzi.

Tusubiri tuone huu utabiri wangu.

Mnataka wajitoe ndiyo sababu kupeleka polisi wa kuwapiga mabomu?Shame on you.

Maana ni week ya pili kila siku mwaka n.a. the same issue leo mmeamua.kuwapiga mabomu ofisini kwao lea kisingizio gani?

Hakika awamu ya washamba wa vyeo
 
Ndio kisingizio chenu cha kujitoa?
Nawashauri mjitoe mapema na sio kusubiri matokeo halafu ndio mnajidai kujitoa
 
Ndio kisingizio chenu cha kujitoa?
Nawashauri mjitoe mapema na sio kusubiri matokeo halafu ndio mnajidai kujitoa

Mmeula wa chuya kama mlidhani kufanya karamu ya mabomu itatuondoa kwenye Uchaguzi nenda kamwambia Baba yake Mnyeti pamoja na Prince Charming kwamba haitasaidia
 
Baada ya kuzidiwa kwa hoja katika kipindi hiki cha kampeni ni wazi CHADEMA inatamani kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi ila sababu ya kufanya hivyo inakosekana.

Option iliyoko mezani ni kufanya vurugu ili wapate mkong'oto wa polisi ili waje na tamko la kujitoa kwenye uchaguzi.

Tusubiri tuone huu utabiri wangu.
Yaani ww ni mjinga kama jina maji
 
Mmeula wa chuya kama mlidhani kufanya karamu ya mabomu itatuondoa kwenye Uchaguzi nenda kamwambia Baba yake Mnyeti pamoja na Prince Charming kwamba haitasaidia
Nawatahadharisha tu...kuwa hii aibu ni lazima muibebe
 
Mimi sitaki hata kubishana na wewe kwa sababu ya jina lako na avatar yako.kweli wewe ni jinga lao
 
Siasa si ubaguzi kama chama kikongwe ccm kinaubiri ubaguzi-mnyeti
Baada ya kuzidiwa kwa hoja katika kipindi hiki cha kampeni ni wazi CHADEMA inatamani kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi ila sababu ya kufanya hivyo inakosekana.

Option iliyoko mezani ni kufanya vurugu ili wapate mkong'oto wa polisi ili waje na tamko la kujitoa kwenye uchaguzi.

Tusubiri tuone huu utabiri wangu.
 
Nawatahadharisha tu...kuwa hii aibu ni lazima muibebe

Aibu ya kutumia polisi?Au aibu gani??Baada ya kushindwa lea hoja mmeona haiwezekani basi mmeamua kutumia Polisi kama sababu.Kuna siku hao hao polisi watachoka n.a. wakishachoka kuu watu matokeo yake mtayaona.Kama Mpuuzi mwenzenu ndiyo kuwaambia mtumie polisi kupata ushindi wa mezani basi kamwambieni wamekataa kujitoa.Chama Cha Mauaji. Mnaweza kupiga .abomu ndani ya nyumba ya mtu kama nyie siyo wauaji.Mnatia kinyaa
 
Option iliyoko mezani ni kufanya vurugu ili wapate mkong'oto wa polisi ili waje na tamko la kujitoa kwenye uchaguzi.
Hawana jipya la kuwaeleza wananchi
Walijitoa kwa kwa madai kwamba taratibu zinakiukwa,ghafla wakabadili gia angani wakarudi,maana yake wamekubali kanuni za mchezo,wapigwe tuu
 
Hawa jamaa kiukweli wanahitaji Huruma aisee!
Kampeni zinaisha saa 12
wao mpaka saa 2 usiku wapo busy na Makelele
Huku nikuwatafuta watu ubaya kabisa
 
Kumbe ndiyo mbinu zenu

Yani mgombea ubunge kusema sasa ana namba ya rais ni Sera?

Ukiwa ccm haupigwi risasi na vyombo vya dola ni Sera?

Aisee kweli mungu humsadia kila mtu.
Mwizi
Wauwaji
Watesaji
Watekaji
Wote wanamuomba mungu na wanafanikiwa ili mwisho wa siku wakapate malipo yao ya matumizi mabaya ya kidunia
Wanaadamu wanaangamia kwa hanasa za dunia.
 
Ndio kisingizio chenu cha kujitoa?
Nawashauri mjitoe mapema na sio kusubiri matokeo halafu ndio mnajidai kujitoa
Jingalao mbona unaongea ukweli au wadanganya!!! Nina hofu na uwezo wako mentally kuhusu hili jambo, MTU kajiuzulu kagombea tena upande wa pili na kuitia Hasara nchi, kweli inahitaji ELIMU kujua huyu hana noma njema??? Napita SHIDA kutambua uwezo wa waunga mkono hili. Naamini wale wanaccm wa eneo hilo wanaojielewa kamwe hawaungi mkono suala hili.
 
Leo wamevamia ofisi za Tume ili walete vurugu halafu wakamatwe
 
Back
Top Bottom