Elections 2010 Je: CCM ni Joka la KIBISA

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,813
11,189
Wadau...

Nimejiuliza sana kuhusu hiki chama chenye miaka kede wa kede na mfumo unaoongoza nchi tangu izaliwe

Nikawaza sana kama CCM inayumbishwa na vyama vya kifamilia (allegedly), na vya visiwani (allegedly) na vya kokoto na vichuguuu... how come wameyumba hivi??

are they worth anything they claim to be??

Kwa mawazo yangu, CCM ni joka la kibisa
 
Hhahaha ahahah ahaha hahahaha!!!!!!!! na mibango yote ile!
 
Watu wamevaa T-Shirt, Kofia, kanga, vitenge lakini kwenye kura "njere mu mtwi" (yaani akili kichwani kwako)
 
yeah.... billions of money spent, many years of experience, political arrogance and intimidation full swing... yet CCM finds it very hard to get 70% in a country that is very poor and deprived of information systems let alone power and infrastructure
 
Wadau...

Nimejiuliza sana kuhusu hiki chama chenye miaka kede wa kede na mfumo unaoongoza nchi tangu izaliwe

Nikawaza sana kama CCM inayumbishwa na vyama vya kifamilia (allegedly), na vya visiwani (allegedly) na vya kokoto na vichuguuu... how come wameyumba hivi??

are they worth anything they claim to be??

Kwa mawazo yangu, CCM ni joka la kibisa

Wajiulize kwa kuwa walikuwa wanafikiria misingi ya nchi hii inajengwa na CCM tu hapo ndipo walipokosea na kusema kuwa bila CCM hakuna kinachoweza kusogea mbele kwa kuwa walikuwa na mawazo mgando basi sasa ni wakati wa wao kukaa chini na kutafakari kwa kuwa....Kama Yesu alivyosema "Jiwe walilolikataa waaashi sasa limekuwa jiwe la msingi"
 
Naona mwisho wa mabango na tshert ndo unaelekea ukingoni maana pamoja na mabango yote yale wametoa maamuzi na sisemi wakiendelea hivi kuna siku kitakufa
 
Wadau...

Nimejiuliza sana kuhusu hiki chama chenye miaka kede wa kede na mfumo unaoongoza nchi tangu izaliwe

Nikawaza sana kama CCM inayumbishwa na vyama vya kifamilia (allegedly), na vya visiwani (allegedly) na vya kokoto na vichuguuu... how come wameyumba hivi??

are they worth anything they claim to be??

Kwa mawazo yangu, CCM ni joka la kibisa

Wameyumba hivi kwa kulewa madaraka, kuwa na kiburi cha madaraka, utendaji wao finyu, kutowajali Watanzania na kama viongozi kuishi maisha ya kifahari kuliko hata ya viongozi wa nchi tajiri duniani.
 
Back
Top Bottom