JE, CCM-MAKUNDI INARUDI UPYA?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,145
2,000
Katika vitu ambavyo vimekitafuna chama hiki miaka yote ni makundi ndani yake. Miongoni mwa walalamikiwa wakubwa wa mambo haya ni Lowasa ambaye amesharudi CCM, JK pia aliwahi kukiri mwenye kua alikua na mtandao ndani ya chama.
Nasema kua "CCM-Makundi" inarejea kwa sababu nyingi lukuki na zenye nguvu. Haya ni makundi ambayo yanaweza kumea kwa kasi na kurudi kwa CCM tuliyoizoea huko nyuma.

1.Kundi-BM.
Hili ni kundi linalojumuisha wanaccm wengi likiwa na mtandao Mkubwa chini ya wanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kugombea Urais na kuishia kura za maoni 2015 "BM". Hili kundi lina vijana wengi na ni wanamikakati wazoefu ndani ya chama na zaidi linatajwa kua na unasaba na familia ya kiongozi mmoja Mkubwa mstaafu kwa chama na himaya ya nyumba kuu.Wanamtandao wa kundi hili ndio ambao wanasemwa wako against kabisa na himaya ya sasa. Bado kundi kundi hili linatajwa kuweza kufanya manadiliko ndani ya chama kuelekea twenti twenti.

2.Kundi-LOWASA(TEAM LOWAA)
Baada ya mzee kurejea CCM kunasemwa kua si bure, wataalam wa siasa wanadai kua mzee alitanguliza vijana wake alioondoka nao 2015,na baada ya kuona kua mambo ni magumu kutimiza malengo yao wakohamia, bado mzee pamoja na kundi lake wanaamini ndoto zao zinaweza kutimia wakiwa CCM na sio nje ya hapo. Kundi hili bado lina mtandao Mkubwa ambao bado unaonekana wazi kua bado ni against na CCM mpya.CCM hii ilijaribu kuanza kujaribu kuanza kuubomoa lakini bila kujua kua bado una nguvu kubwa waliurudisha tena kwenye chama na kukiri kuwasamehe badala ya kuikiri kua wanaujenga. CCM mpya haijui kua siasa ni timing muda utazungumza kuellekea twenti twenti.

3.CCM-mpya
Hili ni kundi jipya lenye sura ngeni kwenye siasa za ndani ya
chama, hili ni kundi ambao bado hata wao kwenye siasa halina uzoefu wa kutosha ukiacha baadhi ya sura ya msaidi za mkuu wa chama bara. Ni kundi ambalo bado haliko katika Uzi mmoja na makundi mengine tajwa hapo juu. Ndilo kundi lenye sauti kwa sasa ambalo kimsingi ni tegemeo la maamuzi ya Chama to twenti twenti.Kuimarika kwa kundi hili kunategemea zaidi nguvu za mkuu wa chama na himaya za kaya.

JE, CCM WANAWEZA KUZUNGUMZA SAUTI MOJA KUELEKEA?
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
4,050

Team Membe (Nape) VS Team JPM (Lowassa)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom