Je, CAG kushindwa kumtaja kwa jina mbunge wa CHADEMA aliyemilikishwa gari la chama siyo Udhaifu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,816
141,717
Swali hili nimelilenga zaidi kwa wahasibu na wakaguzi wa financial statements/ accounts.
Kwamba katika ripoti ya CAG nimesoma habari ya mbunge wa chadema kumilikishwa gari lililonunuliwa kwa fedha za ruzuku lakini sijaona popote jina la mbunge huyo.
Je, huo siyo udhaifu katika ripoti hiyo?

cc: Okw boban sunzu

Maendeleo hayana vyama!
 
Professional ethics of Audit don’t allow the report to written in that manner/way.

Swali hili nimelilenga zaidi kwa wahasibu na wakaguzi wa financial statements/ accounts.
Kwamba katika ripoti ya CAG nimesoma habari ya mbunge wa chadema kumilikishwa gari lililonunuliwa kwa fedha za ruzuku lakini sijaona popote jina la mbunge huyo.
Je, huo siyo udhaifu katika ripoti hiyo?

cc: Okw boban sunzu

Maendeleo hayana vyama!
 
Ahsante mhasibu msaidizi!
Asante kushukuru..

Kwa kuongezea, usidhani kwamba CAG au ofisi ya CAG hawana udhaifu, wanao, infact binadamu yeyote ana udhaifu, kwa hiyo ni kitu cha kawaida, Lakini, inawezekana nchi hii baadhi sio binadamu, ndio maana hawataki kukosolewa na ukiwaambia wanaudhaifu ni vita ya kufa mtu, nahisi awamu hii tunaongozwa na viumbe kutoka mbinguni, sio binadamu hawa, maana hawawezi kukosea na hawana udhaifu kabisa!
 
Swali hili nimelilenga zaidi kwa wahasibu na wakaguzi wa financial statements/ accounts.
Kwamba katika ripoti ya CAG nimesoma habari ya mbunge wa chadema kumilikishwa gari lililonunuliwa kwa fedha za ruzuku lakini sijaona popote jina la mbunge huyo.
Je, huo siyo udhaifu katika ripoti hiyo?

cc: Okw boban sunzu

Maendeleo hayana vyama!
Sio kosa lako ..tatizo ni fani uliyosemea ya "Siasa za maji taka pale Lumumba" huchelewi kuwauliza viongozi wako mbona CAG hajaweka wazi majina ya wafanyakazi wa CCM (CWT) ambao wametapeliwa mafao/michango yao na mwajiri wao CCM
 
Sitetei ila kazi ya CAG ni kukagua mahesabu sio kutaja majina ya watu. Ndio maana kwenye report yake hata madud ya ccm hajatja wahusika.
Amewakiliasha mahesabu kihasib zaid
Swali hili nimelilenga zaidi kwa wahasibu na wakaguzi wa financial statements/ accounts.
Kwamba katika ripoti ya CAG nimesoma habari ya mbunge wa chadema kumilikishwa gari lililonunuliwa kwa fedha za ruzuku lakini sijaona popote jina la mbunge huyo.
Je, huo siyo udhaifu katika ripoti hiyo?

cc: Okw boban sunzu

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kosa lako ..tatizo ni fani uliyosemea ya "Siasa za maji taka pale Lumumba" huchelewi kuwauliza viongozi wako mbona CAG hajaweka wazi majina ya wafanyakazi wa CCM (CWT) ambao wametapeliwa mafao/michango yao na mwajiri wao CCM
Majibu yako yanaonyesha wewe siyo mhasibu!
 
Swali hili nimelilenga zaidi kwa wahasibu na wakaguzi wa financial statements/ accounts.
Kwamba katika ripoti ya CAG nimesoma habari ya mbunge wa chadema kumilikishwa gari lililonunuliwa kwa fedha za ruzuku lakini sijaona popote jina la mbunge huyo.
Je, huo siyo udhaifu katika ripoti hiyo?

cc: Okw boban sunzu

Maendeleo hayana vyama!
Kuna taarifa yoyote ya CAG ambayo imeshawahi kutaja majina ya watu? Unadhani hata huyo katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani na wenzake kwenye hizo sare za polisi hawajulikani kwa majina? Subilia think tank wenu MUSIBA, atawatajia
 
Na zile nyumba kule Zenji walizojimilikisha maAfisa wa chama cha mapinduzi kutokutaja majina sio udhaifu???
au ni ile methali ya Nyani haoni k**nd*le.

Nchi haiendeshi kama Monitor darasani mkuu.

Msimtafute wa kujioshea nae kila mmoja apambane kujisafisha kivyake.

WAPIGA RAMULI BUANA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kuna taarifa yoyote ya CAG ambayo imeshawahi kutaja majina ya watu? Unadhani hata huyo katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani na wenzake kwenye hizo sare za polisi hawajulikani kwa majina? Subilia think tank wenu MUSIBA, atawatajia
Hujajibu swali!
 
Back
Top Bottom