Je, bunge ni kubwa mno kuhimili kasi ya Magufuli?

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,693
2,000
Matumizi ya muda wa karibia miezi 3 kujadili bajeti ya serikali huenda yanachangiwa na idadi kubwa ya wabunge waliopo na wenye haki ya kutoa maoni. Shida ninayoiona ni Moja tu, kiukweli bunge popote pale duniani linapaswa kubwa kioo cha jamii na mfano bora wa uwajibikaji, Je bunge letu linamsaidiaje Rais ktk dhana yake ya kubana matumiz?! Na je kuna uwiano chanya kati ya idadi ya wabunge na kasi ya maendeleo wanayoyafanikisha? Nawasilisha.
 

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,587
2,000
Hili swali sio la kucomment tu nahisi umetuma assignment jf
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom