Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?

Nchi zile kuna tofauti kati ya vyama na serikali, huku Serikali ndio chama na chama ndio serikali. Kila aliye chamani ndiye ana sauti kuliko aliye serikalini ,unless awe mwanchama wa chama hicho chenye serikali.
Tunahitaji katiba itakayokuwa imejitosheleza, bila hivyo tutabaki kupangiwa na kuamuliwa kila kitu na mwenyekiti wa ccm taifa.
 
brexit.png

Source :
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhudu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Ripoti ya CAG ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, itashuka Bungeni Dodoma hivi karibuni, tuifuatilie kuona ripoti hiyo itabaini nini na kulifuatilia Bunge letu litafanya nini.

Natoa wito kwa Wabunge wetu, kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye Bunge la Uingereza kwa sasa, ambapo Bunge la nchi ,linaonyesha perliamentary supremacy kwa kuiathibu The Executive, na kura zikitosha, Waziri Mkuu Bi Theresa May ndio safari.

Soma hii
Our cover in Britain dissects a week in which Theresa May, the prime minister, has offered to resign and Parliament has seized control of Brexit—sidelining the executive for the first time in over a century. Sadly, Mrs May’s sacrifice does nothing to solve Britain’s Brexit mess. Her resignation depends on Parliament voting through her deal after two crushing defeats. Even if she succeeds (a very big if), Parliament remains hopelessly divided about Britain’s future relationship with Europe. If her deal fails and Parliament forces its own alternative on her, she could resist. If she goes, the next prime minister’s Brexit plan will have no popular mandate. Brexit remains as radically uncertain as it has ever been.
Source ni The Economist.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Hata mimi nililiangalia Hasa Speaker alionyesha uzalendo wa hali ya juu
 
Uwe makini, hivyo viulizo wenzio huwa hawavioni.

Utasikia umelikashifu bunge kwa kuliita butu.!

Na huku kwetu tatizo sio bunge kuwa na meno, tatizo ni katiba ya nchi ndio inalea Madudu yote haya..

Kwetu chama ndio kinamvua ubunge mbunge.

Katiba haijampa mwananchi haki yake kumlinda mwakilishi wake.

Siku bunge likiwa huru labda ndio tutaona mijadala moto na yenye nguvu dhidi ya serikali.
Bado bunge Lina nafasi ya kufanya kitu hata kwa katiba iliyopo....tatizo ni spika... spika ni dhaifu sana. Tumeona mara nyingi tu akipewa maelekezo na rais hadharani...Sasa jiulize kama anaweza kupokea maelekezo hadharani vipi kuhusu chemba??
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhudu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Ripoti ya CAG ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, itashuka Bungeni Dodoma hivi karibuni, tuifuatilie kuona ripoti hiyo itabaini nini na kulifuatilia Bunge letu litafanya nini.

Natoa wito kwa Wabunge wetu, kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye Bunge la Uingereza kwa sasa, ambapo Bunge la nchi ,linaonyesha perliamentary supremacy kwa kuiathibu The Executive, na kura zikitosha, Waziri Mkuu Bi Theresa May ndio safari.

Soma hii
Our cover in Britain dissects a week in which Theresa May, the prime minister, has offered to resign and Parliament has seized control of Brexit—sidelining the executive for the first time in over a century. Sadly, Mrs May’s sacrifice does nothing to solve Britain’s Brexit mess. Her resignation depends on Parliament voting through her deal after two crushing defeats. Even if she succeeds (a very big if), Parliament remains hopelessly divided about Britain’s future relationship with Europe. If her deal fails and Parliament forces its own alternative on her, she could resist. If she goes, the next prime minister’s Brexit plan will have no popular mandate. Brexit remains as radically uncertain as it has ever been.
Source ni The Economist.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Mkuu kaa chonjo,thread yako inapitiwa kuona kama kuna makosa,bado unakumbukwa na kile kikao cha dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uku kwetu bunge linafanya kazi kuifurahisha serikali ndio maana serikali ikisemwa na wabunge kwa kutowajibika kupeleka huduma kwa wananchi spika anachukia! bunge lingekua na meno ata manne kama ya babu yangu hapa serikali ingekwisha wajibishwa kwakununua midege bila kupitishiwa pesa na bunge.ila kwakua haijulikani meno yake yalipotelea wapi itatuchukua miaka 30 kuota meno na kung'ata japo tutakua tumechelewa sana
 
Nusu ya hao wabunge wamepatikana kwa sheria kukiukwa, sasa unategemea mtu aliyeingia bungeni kwa udhaifu wa sheria atafanya lolote la maana?
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhudu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Ripoti ya CAG ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, itashuka Bungeni Dodoma hivi karibuni, tuifuatilie kuona ripoti hiyo itabaini nini na kulifuatilia Bunge letu litafanya nini.

Natoa wito kwa Wabunge wetu, kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye Bunge la Uingereza kwa sasa, ambapo Bunge la nchi ,linaonyesha perliamentary supremacy kwa kuiathibu The Executive, na kura zikitosha, Waziri Mkuu Bi Theresa May ndio safari.

Soma hii
Our cover in Britain dissects a week in which Theresa May, the prime minister, has offered to resign and Parliament has seized control of Brexit—sidelining the executive for the first time in over a century. Sadly, Mrs May’s sacrifice does nothing to solve Britain’s Brexit mess. Her resignation depends on Parliament voting through her deal after two crushing defeats. Even if she succeeds (a very big if), Parliament remains hopelessly divided about Britain’s future relationship with Europe. If her deal fails and Parliament forces its own alternative on her, she could resist. If she goes, the next prime minister’s Brexit plan will have no popular mandate. Brexit remains as radically uncertain as it has ever been.
Source ni The Economist.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Nilidhani unazungumzia hukumu ya sheria ya habari iliyotungwa hapo Dodoma!
 
You are very smart. Hii thread ni swali wala SIYO statement.
 
Bado huwaogopi hao jamaa? Utaenda na bodaboda Dodoma? Haaahaaaa
 
Mayalla bunge lao na wananchi wao siyo kama sisi Ngosha. Bunge letu limejaa wendawazimu na wananchi wendawazimu hasa wa mitandaoni.

Kuhusu demokrasia, na wao inategemea kama wakubwa wanataka nini, hawatawasikiliza wananchi kama wameshaamua kupanga.

Hili swala la sasa limegua gumu sana linaweza kuleta uchaguzi wa dharura kama Teresea akichemka maana kila upande wanavutana, wanaotaka kujitoa na wanaotaka kubaki. Kwa kura wakujitoa walishinda lakini kiidadi wananchi wengi wanataka kubaki kosa lao kubwa hawakwenda kutumia haki yao ya kupiga kura katika Referendum
 
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo, hii ni thread ya swali na sio statement.

Jee Bunge Letu Ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza Lenye Meno Linavyong'ata Serikali. Jee Kuna Ubaya Wowote na sisi Bunge Letu Tukiiga Mazuri ya Mabunge Mengine Katika Kuisimamia Serikali Zao?.

Kumewahi kutolewa tuhuma kadhaa kuhudu udhaifu wa mhimili wetu wa Bunge, hadi kuitwa "Bunge Dhaifu" au "Bunge Butu" kwa hoja kuwa halina meno makali ya kuweza kung'ata Mhimili mmoja wa The Executive, wakati mhimili huo unapokwenda kinyume cha sheria, taratibu na kanuni nikitolea mfano mmoja tuu wa matumizi ya fedha za umma.

Hoja za watoa hoja ni hatua mbali mbali zinazochukuliwa na Bunge, kunyamazia makosa ya the executive.

Kwa vile Bunge letu tunafuata mfumo wa Westiminster wa Uingereza ambao pia ndio unaofutwa na mabunge mengi ya nchi za Jumuiya ya Madola, jee kuna ubaya Bunge letu na Wabunge wetu, wakanoa meno na kuwa makali kama Bunge la Uingereza ambalo ni Bunge lenye meno kweli, ukilinganisha na Bunge letu, mtu unaweza kuliita Bunge letu ni Bunge...(sitaki kuitwa tena Dodoma).

Ripoti ya CAG ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, itashuka Bungeni Dodoma hivi karibuni, tuifuatilie kuona ripoti hiyo itabaini nini na kulifuatilia Bunge letu litafanya nini.

Natoa wito kwa Wabunge wetu, kufuatilia kwa karibu kinachoendelea kwenye Bunge la Uingereza kwa sasa, ambapo Bunge la nchi ,linaonyesha perliamentary supremacy kwa kuiathibu The Executive, na kura zikitosha, Waziri Mkuu Bi Theresa May ndio safari.

Soma hii
Our cover in Britain dissects a week in which Theresa May, the prime minister, has offered to resign and Parliament has seized control of Brexit—sidelining the executive for the first time in over a century. Sadly, Mrs May’s sacrifice does nothing to solve Britain’s Brexit mess. Her resignation depends on Parliament voting through her deal after two crushing defeats. Even if she succeeds (a very big if), Parliament remains hopelessly divided about Britain’s future relationship with Europe. If her deal fails and Parliament forces its own alternative on her, she could resist. If she goes, the next prime minister’s Brexit plan will have no popular mandate. Brexit remains as radically uncertain as it has ever been.
Source ni The Economist.

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Paskali
Mkuu Mayalla hii Issue ni kubwa sana kwa nchi na siyo ya kivyama. Kuna vitu vingi vipo rehani ni ujinga wa David Cameron umewafikisha hapo walipo. Alichokifanya Labor walikikwepa miaka walipokuwa madarakani. Cameron alifanya utapeli ili achaguliwe kuwa Prime Minister baada ya uchaguzi wa kwanza kutopata wabunge wa kutosha na kutengeneza Hung Parliament. Utapeli wake alidhani watu wengi watapiga kura kubaki Ulaya lakini baadhi ya watu wa karibu nao walikitaka kiti chake wakaenda kinyume japo walikua Remainer kama BOJO GOVE na wengine.

Tony Blair, John Major walimuonya lakini hakusikia sasa kaingiza nchi katika mkenge na yeye kasepa.

Ona haya maandamano ya jumamosi iliyopita.

Remainer

Pro Brexit

hapo ndiyo ujue nchi ipo katika mess
 
Back
Top Bottom