Je budget ya million 2 naweza kupata laptop ya vigezo hivi?

Please kulingana na hizo specifications unaweza kunisaidia ipi n nzuri
Unapozidi kupanda juu kutoka G1 kwenda G7 ndivyo inavyokuwa nzuri zaidi,mfano G5 ni nzuri kuliko G3.G maana yake ni graphics.
 
Back
Top Bottom