Na Hosp pia
NHIF awamu ya 4 ilikua bomba sana ila kwa sasa imekua hovyo hata typhoid eti hawapimi juzi nimelipa sh 10000 kupima widal test Ranibinsia tegeta kisa nhif wamekataa.Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je kwa Dar es salaam ni hospitali gani?