Je bila pesa au refa huwezi pata ajira?

Brandon

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
336
5
Wakuu salam,

naombeni msaada wenu jamani hivi ni kweli bila kutoa pesa au kuwa na refa huwezi pata ajira?
 
1. KUHUSU PESA, sidhani kama wengi wa watafuta ajira wana pesa; hivyo ni ukosaji wa pesa ndio unamfanya mtu atafute ajira; sasa atatoa wapi hiyo ya ziada?

2. REFA ni muhimu, kwani ni utamaduni lazima ukiomba kazi refa wako atambuliwe na katika kazi nyengine hutakiwa akuandikie barua ya kukuunga mkono, au ulikusudia vipi?

3. Unaweza kuwa na Refa na Pesa na ajira usipate; je unao UZOEFU na Taaluma?
 
Nina bsc. Cna maana ya refa wa aina hyo. Namaanisha mtu wa kukupigania kwa hr's.
 
By Qualifications it means

1) Relevant Qualifications, sio kuwa unamchukua Cardiologist kufanya Uvuvi; anaweza kuwa ana taaluma, ila ikawa sio relevant. NA

2) Aweze ku convert kilichomo kwenye gamba lake kuwa deliverable tool.

THEN UREFA

HATA huyo atakayekupigania kwa HRs hapaswi bebeshwa gunia la misumari
 
Back
Top Bottom