Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Hapana Mungu ndiye muasisi wa Demokrasia.
Hivi kuna demokrasia bila kuruhusu upinzani ?
Watanzania si mlichagua kuwa na vyama vingi na sasa mnalilia Katiba Mpya ili muimarishe Demokrasia ?

Mosi.
Mungu hataki kuwa
Dikteta kama Kim-Jong Un, Raisi wa Korea Kaskazini, ambaye anaua raia wake ili kuwatisha ili wamsikilize yeye tu.

Mungu hataki hivyo, kwakuwa kuna watu hawamtaki Mungu kabisa, anawaheshimu sana, na amewapa muda ili wamrudie kumtii yeye kwa hiari yao.

Ibirisi Lucifer, Shetani Mkuu naye ni mungu pia, na ana miungu yake na waumini anaowaongoza.
Nenda YouTube bofya " Satanic Church" utayaona makanisa ya Shetani na waumini wake.

Shetani hatakiwi kuuwawa, kwakuwa ana wafuasi wengi tu, kwa kujua au kuto kujua. Na wanapenda maisha ya Kishetanishetani, wanataka kuwa huru, hawataki kuamrishwa amrishwa, waache hiki na watende kile.

Pili
Mungu ndiye Muumba wa kila kitu.
Huwa hashauriwi na yeyote. Anafanya kile anachoona kinampendeza Yeye.

Ni kama wewe unapochonga kinyago cha mti wa mpingo, unaweza kukipamba maua na kikiweka kama pambo sebureni.
Siku ikikupendeza unaweza ukakigeuza kuni na kukichoma moto kikaungua kabisa.
Atakuuliza nani ?

Tatu.

Mungu haui mtu, bali unamuondoa duniani na kumpeleka anako ona yeye kunafaa.
Yesu Kristo alimnyanyua na kumpeleka Mbinguni.

Na hakuna namna ya kumchukua mtu zaidi ya Njia ya Kifo. Kwakuwa inabidi auache mwili wake ndipo achukuliwe.

Mwili ni jumba linalokuwezesha kuishi hapa duniani tu.

Mungu akikuchukua unatakiwa uondoke bila mwili, ndio maana unauacha mwili wako na watu wanaufukia.
Wewe huyoooo, unaondoka.
Naona umekuwa msemaji mpaka wa Lucifer 😂😂😂😂
 
Then hata nawashangaa wanao jiita wafuasi wake
Kuna vicheka hapa


بَدِيعُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ أَنَّىٰ يَكُونُ لَهُ وَلَدٌ وَلَمْ تَكُن لَّهُ صَاحِبَةٌ ۖ وَخَلَقَ كُلَّ شَيْءٍ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ( 101 )
Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.

: وَمَرْيَمَ ابْنَتَ عِمْرَانَ الَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهِ مِن رُّوحِنَا وَصَدَّقَتْ بِكَلِمَاتِ رَبِّهَا وَكُتُبِهِ وَكَانَتْ مِنَ الْقَانِتِينَ ( 12 )
Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na tukampulizia humo kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.

وَالَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهَا مِن رُّوحِنَا وَجَعَلْنَاهَا وَابْنَهَا آيَةً لِّلْعَالَمِينَ ( 91 )
Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu

Surah 6: 101 ilisema kwamba ni vipi Mwenyezi Mungu anaweza kupata mwana bila mke? Ni nani alikuwa anauliza Swali hili la kipumbavu katika quran tukufu?
Sura ya 66: 12 na 21: 91 baadaye ilikiri kwamba Mwenyezi Mungu alimpa ujauzito Mariamu kwa kupulia uke wa binti amran (farjaha)
Na isa alipo zaliwa akamkataa sio mwanae

Ana tofauti gani na mkora wa huku uswazi?!
Tuwekee aya Yesu kasema Mimi ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu, usikirihishe ukumbi
 
Niache Kusoma Neno la Mungu nikasome kadi za kliniki?!

Hebu nikuulize!;
Humu unaitwa zed b!

Ukifika nyumbani kwako wanao wanakuita baba!

Mkeo anakuita bwana wangu!

Jee sio ww??
Hivi padri una mke ? Tokea Lini?
 
Kwa hivyo kumbe ilikuwa unasema uongo? Sasa tuambie ukweli wa huyo alieziandika zile aya ulizozileta ni Nani Na kwa ushahidi gani?
Sijasema nimeandika uwongo, mbona unasema kitu ambacho mimi sijasema ?
Nasema nimekujibu unachokitarajia ili uridhike.
Yaani nimejibu unavyotaka wewe.
 
Tuwekee aya Yesu kasema Mimi ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu, usikirihishe ukumbi
Kama Yesu sio MUNGU, Mungu nani?!
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE
 
Ndivyo alivyokuambia?
Usishangae dogo, mimi kwa hatua ya uelewa wangu.
Namwamrisha Ibirisi Lucifer. Yaani ananitumikia mimi.
Kama huamini njoo inbox. Nita kukutanisha na Ibirisi shetani Lucifer siku yoyote nitakayo penda mimi.
Kama una akili uliza swali lolote utajibiwa.
Mimi ni zaidi ya mungu wako Allah.
 
Kama Yesu sio MUNGU, Mungu nani?!
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE
Weka aya Yesu kasema Mimi ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu usikirihishe ukumbi
 
Usishangae dogo, mimi kwa hatua ya uelewa wangu.
Namwamrisha Ibirisi Lucifer. Yaani ananitumikia mimi.
Kama huamini njoo inbox. Nita kukutanisha na Ibirisi shetani Lucifer siku yoyote nitakayo penda mimi.
Kama una akili uliza swali lolote utajibiwa.
Mimi ni zaidi ya mungu wako Allah.
Ndio ukawa husimami kwenye ukweli ,sikushangai
 
Weka aya Yesu kasema Mimi ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu usikirihishe ukumbi
Kama Yesu sio MUNGU, Mungu nani?!
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE
Takbir Yesu Akbar
 
Kama Yesu sio MUNGU, Mungu nani?!
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE
Takbir Yesu Akbar
Hiyo ndiyo aya ya biblia Yesu kasema Mimi ni Mungu aliyevaa mwili wa kibinadamu??
 
Back
Top Bottom