Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

nyufa hizo kama zipi ulizoziona ww? ziweke hapa tuzijadili
Tuanze hapa mkuu:
Ukisoma mwanzo au Genesis 6:3 inasema The Lord said, "My spirit will not be in man forever, for he is only flesh; so the days of his life will be a hundred and twenty years."

Na ukisoma tena mwanzo au Genesis 9:29 inadai "Noah lived nine hundreds and fifty years".
Tuangalie na hapa:
1. Who incited David to count the fighting men of Israel?
A. God did (2 Samuel 24: 1)
B. Satan did (I Chronicles 21:1)
2. In that count how many fighting men were found in Israel?
A. Eight hundred thousand (2 Samuel 24:9)
B. One million, one hundred thousand (I Chronicles 21:5)
3. How many fighting men were found in Judah?
A. Five hundred thousand (2 Samuel 24:9)
B. Four hundred and seventy thousand (I Chronicles 21:5)
4. God sent his prophet to threaten David with how many years of famine?
A. Seven (2 Samuel 24:13)
B. Three (I Chronicles 21:12)
5. How old was Ahaziah when he began to rule over Jerusalem?
A. Twenty-two (2 Kings 8:26)
B. Forty-two (2 Chronicles 22:2)
6. How old was Jehoiachin when he became king of Jerusalem?
A. Eighteen (2 Kings 24:8)
B. Eight (2 Chronicles 36:9)
7. How long did he rule over Jerusalem?
A. Three months (2 Kings 24:8)
B. Three months and ten days (2 Chronicles 36:9)
8. The chief of the mighty men of David lifted up his spear and killed how many men at one time?
A. Eight hundred (2 Samuel 23:8)
B. Three hundred (I Chronicles 11: 11)
9. When did David bring the Ark of the Covenant to Jerusalem? Before defeating the Philistines or after?
A. After (2 Samuel 5 and 6)
B. Before (I Chronicles 13 and 14)
10. How many pairs of clean animals did God tell Noah to take into the Ark?
A. Two (Genesis 6:19, 20)
B. Seven (Genesis 7:2). But despite this last instruction only two pairs went into the ark (Genesis 7:8-9)
11. When David defeated the King of Zobah, how many horsemen did he capture?
A. One thousand and seven hundred (2 Samuel 8:4)
B. Seven thousand (I Chronicles 18:4)
12. How many stalls for horses did Solomon have?
A. Forty thousand (I Kings 4:26)
B. Four thousand (2 chronicles 9:25)
Huyu jamaa amejaribu kuonesha mkanganyiko wa kimaandiko ndani ya biblia yetu pendwa: https://infidels.org/library/modern/donald_morgan/contradictions.html
 
Nikihakikisha nikikuta ulicho andika apo ni kwel. Najipeleka jela mwenyewe
 
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.
Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.
Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.
Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938
HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo
1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?
2. Je Biblia gani ni halali
3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??
4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia
5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.
Naomba kuwasilisha
Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
Mwandishi kaandika historia ya Biblia ambayo haisemi tofauti ya Biblia. Pia mwandishi hajui kuwa Biblia ni library ya Vitabu. Vitabu alivyo navyo Myahudi vinamtosha, Mkristu ana Injili yake inamtosha,ila kwa vile Ukristu unaanzia kwa wayahudi kuweka agano la kale ni kuporesha historia. Vitabu vya kiyunani kwa agano la kale vina faida ila sio kwamba vikikosekana maisha hayaendi.
 
Waongeze watakavyo lkn siku akija kuhukumu. Atawapunguzia siku zao ktk ule mti wa uzima. Hukumu yaja tatizo lako unataka wahukumiwe leo.
Pili Yohana mtume alisema usipunguze wala kuongeza neno ktk kitabu cha ufunuo tu.km alivoagizwa na Mungu. Sasa wewe unaharaka sana hujui
 
Tatu mawazo ya Mungu ni ya Mungu si mwanadamu.
Ukifikiri kiuanadamu utachanganyikiwa take it easy things will work out.
Dunia ina kelele nyingi sana kuhusu propaganda ambazo ziko connected na Mungu.
za Mungu.utazijua tu alisema mzijaribuni.unapenda kusikiliza neno "mungu amenituma/ameniagiza"
 
Na leo ndo nimejua kuwa kumbe kuna waisraeli wengine walibakia misri kumbe musa akuenda nao wote?
Hapana mkuu hawa wayahudi wa Alexandria sio kwamba walikuwepo toka enzi za Musa bali katika vipindi tofauti Israel ilitawaliwa na falme nyingi hivyo kuna waliotawanywa kwenda uhamishoni mfano Persia,Babylon n.k katika hiko kipindi ndio diaspora wengine wakajikuta wanafika misri. Na mpaka kufika miaka ya 1950 kulikuwa na wayahudi wengi alexandria takriban elfu 80 kabla hawajatimuliwa kurudi kwao Israel.

Kwahiyo ni visa viwili tofauti na havina uhusiano kati ya wayahudi enzi za musa kufika misri na hawa wayahudi wa Alexandria nliowaongelea hapa.

Ni hayo tu
 
Waongeze watakavyo lkn siku akija kuhukumu. Atawapunguzia siku zao ktk ule mti wa uzima. Hukumu yaja tatizo lako unataka wahukumiwe leo.
Pili Yohana mtume alisema usipunguze wala kuongeza neno ktk kitabu cha ufunuo tu.km alivoagizwa na Mungu. Sasa wewe unaharaka sana hujui
Shida inakuja mkisubiri mpaka hukumu ina maana hata waliopotoshwa nao watahukumiwa.... Maana leo hii Biblia ina canons kibao na zote zinakinzana hivyo zote haziwezi kuwa sahihi ssa nini hatma ya mabilion waliopotoshwa bila kufahamu?? Je nao hukumu hii itawahusu?

2. Unasema hili angalizo ni kitabu cha ufunuo tu.... Sasa niulize ina maana amri 10 kwakuwa walipewa wayahudi basi sisi hazituhusu?? Hivyo ni haki kuiba au kuzini?? Je ni mafundisho gani yanatuhusu wakristo wote kama mnadai hadhira ya haya mafundisho ni wasomaji wa Ufunuo ikimaanisha mwanzo,luka,yohama n.k unaweza kupotosha tu??
 
waliopotoshwa bila kufahamu?? Je nao hukumu hii itawahusu?
Yes kubwa:
Mkuu hukumu inawahusu. kutokujua sheria siyo kinga kisheria, Biblia inasema Waache vipofu wawaongoze vipofu maana wote watatumbukia shimoni. Mungu alituhahakikishia kwa kauli yake mwenyewe kuwa sisi ni miungu. mwana wa Mungu hadanganyiki.

tuna akili ya kujua mema na mabaya, na akatwambia waongo tutawajua kwa matendo/ matunda yao. na tuwajaribu,

hao mabillion unaodhani wamepotea wengine wanafanya research/ kujaribisha, yamkini hata wengine watatubu. usiwahukumu kuwa watapotelea hukumuni.
kumbuka njia ya kuelekea uzimani ni nyembamba sana wachache watapitia njia hii
 
Yesu hakutuachia Biblia. Alituachia Kanisa. Kulikuwa na vitabu vya Agano la Kale wakati wa Yesu, lakini vitabu vya Agano jipya viliandikwa na wafuasi wa Yesu baadaye.

Biblia haitaji ni vitabu vipi ndivyo Neno la Mungu. Uamuzi wa ni vitabu gani ni Neno la Mungu ulifanywa na Mtaguzo Mkuu wa Kanisa Katoliki karne ya nne baada ya Yesu. Biblia imetoka kwenye Kanisa na sio Kanisa kutoka kwenye Biblia. Biblia ni Neno la Mungu "kwa sababu Kanisa linafundisha hivyo". Lina hayo mamlaka toka kwa Yesu. Power of the Key.

Biblia halali ni ile inatamkwa na Kanisa kwamba ni ya halali.
 
Biblia ina canons kibao na zote zinakinzana hivyo zote haziwezi kuwa sahihi
Lazima Com-fusion ziwepo, na zita kuwepo sana, usisahau zilikuwepo, hiyo hali ya Canons tofauti yenyewe ni changamoto chanya, na inatia moyo ili mtu azame zaidi autafute ukweli, Lengo la comfusion ni kupotosha ukweli, ili watu waamini kuwa si kitu. ni uzushi, hata walio tundikwa msalabani km Yesu ni confusion kwa mtu ambaye haelewi vizuri Yesu halisi, na ni wengi sana, km vile Osiris, Mithra, Sergio Borgia nk sasa je utamuamini nani katika hiyo list hiyo ndefu? obviously you gonna end up with confusion

Katika hotuba ya mwisho ya Musa kwa wana wa Israel, alisema msipo fuata Sheria ya Mungu na kuwafundisha watoto wenu, wema wa Mungu, na mambo makuu aliyowatendea ninyi, mtaabudu msicho kijua na mtarudishwa Misri kwa mitumbwi km watumwa.
 
Unasema hili angalizo ni kitabu cha ufunuo tu.... Sasa niulize ina maana amri 10 kwakuwa walipewa wayahudi basi sisi hazituhusu?? Hivyo ni haki kuiba au kuzini?? Je ni mafundisho gani yanatuhusu wakristo wote kama mnadai hadhira ya haya mafundisho ni wasomaji wa Ufunuo ikimaanisha mwanzo,luka,yohama n.k unaweza kupotosha tu??
Biblia iliandikwa kwa ku-compile waandishi wengi, na kufanya ulinganisho unao enda sambamba na Manabii kwa Mana bii, na hapo sasa kila kitabu Mungu aliweka utaratibu maalum.
Amri kumi zinawahusu wote.japo siyo kila mktisto ataenda mbinguni.
Poote ktk Biblia kumechakachuliwa lkn Ufunuo imebaki km ilivyo, na Padre wangu ananiambiaga hiki kitabu cha Ufunuo ni kigumu sana usisome utachanganyikiwa.
 
Biblia ya kweli ni king James version lakini siyo nyingine yeyote hasa zile zinazoshabikiwa na wakatoliki
Kwahiyo mkuu NIV ambayo ndio inayotambulika sahivi (hata kwenye maandiko ya kisomi unatakiwa uinakili hiyo pekee) imepotosha kuwa KJV ina makosa makubwa ya kiuandishi?. Na kama wamedanganya nini hatma ya wakristo billion 2 wanaoisoma NIV iliyochakachuliwa (if at all maoni yako ni sahihi kuwa KJV pekee ndio sahihi).

Shukrani
 
4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia
as long as Yesu Kristo you hai - uimara kwa ukrsito upo intact leo na hata milele irregardless waongeze ama kupunguza baadhi ya mistari kwenye holly bible - Roho Mtakatifu atawaongoza wakristo kufikia uzima wa milele.
 
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha

Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
ww sidhani kama ni MUUMINI!
Ingekuwa ni MUUMINI ungeamini Kauli ya Allah!

)يآ أيها الذين آمنوا آمنوا بالله و رسوله والكتاب الَذي نزل على رسوله والكتاب الذي أنزل من قبل. ومن يكفر با لله و ملا ئكته و كتبه و رسله واليوم الآخر فقد ضل ضلالا بعيدا(.
“Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kwa mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kabla yake. Na mwenye kumkufuru Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na siku ya mwisho, hakika amepotea upotovu ulio mbali (na haki).“Qur’an tukufu.

Ukae ukielewa kwamba BIBLIA TAKATIFU SIO VIPANDE VYA KARATASI ILAHA NI NENO LA MWENYEZI MUNGU! AMBALO MUNGU YEHOVA AMETUUMBIA SISI WAUMINI NDANI YETU KUPITIA DHAMIRA NJEMA!
 
as long as Yesu Kristo you hai - uimara kwa ukrsito upo intact leo na hata milele irregardless waongeze ama kupunguza baadhi ya mistari kwenye holly bible - Roho Mtakatifu atawaongoza wakristo kufikia uzima wa milele.
Mkuu ina maana huamini kuna wakristo wanapotoshwa sababu ya maandiko potofu ya Biblia?

Mfano Ethiopia kuna wakristo mamilion wa dhehebu la Orthodox. Biblia yao ina vitabu 84... Yaani 66 vya protestants vyote vipo plus vingine 18 vya agano la kale.

Humo kuna vitabu vina kinzana kabisa na both RC na Protestants ikimaanisha wote hawawezi kuwa sawa.

Sasa nini hatma ya wakristo million zaidi ya 20 wa Huko Ethiopia ambao wanakinzana na waafrika wengine kuhusu misingi ya mafundisho ya Biblia??
 
Back
Top Bottom