Je, Biblia inasema nini kuhusu kupandishwa tozo za miamala?

Medecin

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
7,893
21,297
Screenshot_20210716-204554_WhatsApp.jpg

Soma Isaya 10:1-4
 
Warumi 13:1 SRUV​

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.

Tukomae tu na hizo tozo maana sir god ni kama ka approve
 
Nina wasiwasi na mnyama mmoja mwenye picha ya tabasamu aliyewahi kuugua homa ya kushindwa kupumua, kuwa pengine alitumwa amsogelee mkuu wa nyika. Kisha yeye akatibiwa chap chap Ili mkuu atangulizwe na yeye awe msaidizi wa mkuu mpya huko Nyikani.
 
jamani viongozi .. angalieni..
iv mnazani hii ndo njia bora ya kupata kodi kwa wananchi maskini??
yaan Tanzania imeshindwa kujenga viwanda ili ikusanye kodi??
au mnapachika kwa kuangalia mifuko yenu??
Mheshimiwa waziri wa fedha anaongea as if kila mtu ni waziri na anapata kipato sawa na cha kwake..
wabunge nao wametulia tu na viongozi wengine..
jamani .. japo kodi ni muhimu sana katika kujenga nchi na uchumi wake lakini hiii siyo.. kumbukeni kuna maskini pia hapa nchini..
tusifanye vitu kwa kuiga kwa watu na nchi zilizoendelea..
..
mimi naamini viongozi wa ndani na nje ya jf mpo.. angalieni hili..
mliwekwa na kupewa uongozi ili kujenga nchi lakini hii siyo.. amkeni kwenye hili swala ili maskini wengi wasalimike..
mkitaka kukusanya kodi jengeni viwanda na siyo kwa njia hii ya makato..
 
Warumi 13:1 SRUV​

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.

Tukomae tu na hizo tozo maana sir god ni kama ka approve
Ka approve ili kutuonesha wap tulikosea
 
Warumi 13:1 SRUV​

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.

Tukomae tu na hizo tozo maana sir god ni kama ka approve

Mamlaka lazima yaheshimiwe ila hayo mamlaka yasipitishe sheria kandamizi kwa raia.
 
Kuna mawaziri wanaona hili jambo ni dogo sana kwao kwani walishafanya mambo mabaya na 'ukatili' mkubwa sana dhidi ya binadamu wenzao.
 
Back
Top Bottom