Je, biblia imehalalisha mwanamke kuhubiri kanisani au kuwa mchungaji?

C

Chelebi

Member
Joined
Jan 18, 2019
Messages
19
Likes
13
Points
5
C

Chelebi

Member
Joined Jan 18, 2019
19 13 5
Mwl, Mch OB asante. Sehemu ya pili ya somo hili naipata kwa njia gani?

Kwenye Imani nyingine wanaambiwa Roho Mtakatifu ndiye Mtume Muhamad SAW. Unawasaidiaje wasidanganywe?
Acha uongo hakuna hata sehemu yoyote ktk vitabu vya hiyo imani nyingine inayosema hivyo. Mnafiki mkubwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,013
Likes
2,531
Points
280
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,013 2,531 280
Je Kristo alizuia wanawake kuhubiri?

ndio maana nimeongelea theolojia, maana lazima ujue siku zile mitume hawakua na mda wa kukaa na familia, au kulea watoto...... sasa jiulize mwanamke angeweza kutumikia nafasi kama ya petro,yakobo au paulo?

kueneza injili ni kazi ngumu kuliko kuhubiri, hata leo huwezi wapeleka wanawake zanzibar kueneza injili, ila unaweza kuwafanya wawe mashemasi,wazee wa kanisa, au hata viongozi ndani ya kanisa.........

kwaio, kuhubiri precisely ina maana ya kufundisha Neno la Kristo, Je ni wapi Kristo alisema mwanamke haruhusiwi kufundisha?
We mtu wa ajabu kweli wewe,
Unataka kusema Yesu na mitume hawakiambatana na wanawake kila walipoenda?,unataka kusema wanawake hawakuwa wafuasi na wanafunzi ama hawakuwapo ktk mikusanyiko na kazi za mitume zama zile,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,013
Likes
2,531
Points
280
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,013 2,531 280
kwaio Roho Mtakatifu akimpa huduma ya kinabii mwanamke inabidi tumzuie kutoa unabii? au akimpa karama ya kufundisha, inabidi sisi tumzuie mwanamke kufundisha?........

binafsi, sikubaliani na hali ya mwanamke kuwa juu ya WANAUME i.e mchungaji, askofu,..... lkn sioni shida mwanamke kufundisha maana ni karama ile na amepewa na Roho yule yule tuliyenae wanaume!
Kaka Yale mafundisho ya mtume Paulo yanakataza nini,
Ama hakuna yanachokataza?,
Hapa hatuongelei mitazamo yetu binafsi tunaongelea maagizo ya mtume Paulo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,013
Likes
2,531
Points
280
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,013 2,531 280
wonderful...........

shida watu hawataki kusoma au kujifunza historia ya watu husika walioandikiwa waraka.........

sawa na wanawake wa koritho, tabia yao ya kulingishia wenzao mavazi, marembo, mitindo ya kusuka na hivyo kupelekea wale dhaifu kuona haina maana ya kanisa ILIMFANYA Paulo awakumbushe kwamba hayo ni mambo ya mwili, wala wasilingishie kuvaa mavazi ya gharama bali mwanamke wa Kristo anatakiwa kujiremba na kujipamba rohoni........

hili leo limepelekea baadhi ya huduma kuzuia kabisa mwanamke aliesuka kuingia kanisan mwao, hata kama ameokoka juzi
Hebu nipe hasa Paulo alimaanisha nini,
Alikataza nini ktk agizo lile na nn hakukataza,kwa mujibu wake Paulo siyo kwa mujibu wako ama wangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
2,235
Likes
2,075
Points
280
Age
49
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
2,235 2,075 280
We mtu wa ajabu kweli wewe,
Unataka kusema Yesu na mitume hawakiambatana na wanawake kila walipoenda?,unataka kusema wanawake hawakuwa wafuasi na wanafunzi ama hawakuwapo ktk mikusanyiko na kazi za mitume zama zile,

Sent using Jamii Forums mobile app
sijui hutaki kuelewa au huelewi kweli......sijui...........

narudia tena, hivi mwanamke angekua kwenye nafasi ya Yakobo mtume, au Barnaba unadhan kwa udhaifu wa asili wa mwanamke angeweza ile mikiki mikiki???.......

ndio maana hata kanisa la mitume lilikua na mashamasi na wahudumu wengine wa kanisa wanawake, lkn hakukua na mwanamke miongoni mwa mitume!!!!!!!!........

zile shuruba walizopitia kina Paulo mwanamke kwa nature yake asingeweza, sasa ulitaka Yesu ateue mitume for the sake of tuuuu??? NOP......

ndio maana kulikua na wanawake manabii, na wapo mpk leo, walimu na wapo mpk leo....... thats why Roho Mtakatifu mpk leo anagawa talanta kwa wanawake, kwa sababu nao wanatakiwa ktk ufalme wake kutenda kazi!......
 
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
1,189
Likes
1,318
Points
280
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
1,189 1,318 280
Kanisa ni moja tu katoliki takatifu na la mitume..
 
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
2,235
Likes
2,075
Points
280
Age
49
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
2,235 2,075 280
Hebu nipe hasa Paulo alimaanisha nini,
Alikataza nini ktk agizo lile na nn hakukataza,kwa mujibu wake Paulo siyo kwa mujibu wako ama wangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua kwann nimesema kuna umhimu wa kuelewa background ya wale watu waliopelekewa waraka?..........

nikupe mfano, kitabu kama wakoritho wa kwanza, ni problem solving book,,,, kwamba ni waraka aliandika ili kutatua matatzo yaliyojitokeza!.....

sasa waraka kama ule huwezi kuubeba ulivyo ukaja ku-apply tanzania, huwezi...... ndio mana tunae Roho Mtakatifu ambae anatusaidia hata leo kutatua migogoro inayojitokeza ndani ya kanisa la tanzania!!!!.......

kwaio huwezi kuelewa hasa ni nini Paulo alimaanisha mpk uelewe kwanza hao watu walikua na shida gani mpk yeye akaandika huo waraka,thats very important!!!!....

thats why, nimesisitiza ni mhimu mno mtu kusoma theolojia kabla hajakabidhiwa kanisa, ili aelewe vitu vingi ndani ya biblia.......
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,013
Likes
2,531
Points
280
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,013 2,531 280
sijui hutaki kuelewa au huelewi kweli......sijui...........

narudia tena, hivi mwanamke angekua kwenye nafasi ya Yakobo mtume, au Barnaba unadhan kwa udhaifu wa asili wa mwanamke angeweza ile mikiki mikiki???.......

ndio maana hata kanisa la mitume lilikua na mashamasi na wahudumu wengine wa kanisa wanawake, lkn hakukua na mwanamke miongoni mwa mitume!!!!!!!!........

zile shuruba walizopitia kina Paulo mwanamke kwa nature yake asingeweza, sasa ulitaka Yesu ateue mitume for the sake of tuuuu??? NOP......

ndio maana kulikua na wanawake manabii, na wapo mpk leo, walimu na wapo mpk leo....... thats why Roho Mtakatifu mpk leo anagawa talanta kwa wanawake, kwa sababu nao wanatakiwa ktk ufalme wake kutenda kazi!......
Leo nashuhudia miujiza ya maneno na nukuu za ajabu,
Kwamba kilifanya wanawake wasipewe utume ilikuwa ni sababu hawawezi mikiki na shuruba,huu muujiza,kwa hiyo hawa wanawake wa kizazi hiki ni toleo jipya ndo maana sasa wanaruhusiwa,unasema kulikuwako wanawake manabii na mitume nk na sasa wapo,halafu unasahau ulichosema kuwa hawakuteuliwa sababu hawawezi mikiki,sasa hao waliokuwapo zamani waliwezaje mikiki,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
2,235
Likes
2,075
Points
280
Age
49
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
2,235 2,075 280
Leo nashuhudia miujiza ya maneno na nukuu za ajabu,
Kwamba kilifanya wanawake wasipewe utume ilikuwa ni sababu hawawezi mikiki na shuruba,huu muujiza,kwa hiyo hawa wanawake wa kizazi hiki ni toleo jipya ndo maana sasa wanaruhusiwa,unasema kulikuwako wanawake manabii na mitume nk na sasa wapo,halafu unasahau ulichosema kuwa hawakuteuliwa sababu hawawezi mikiki,sasa hao waliokuwapo zamani waliwezaje mikiki,

Sent using Jamii Forums mobile app
usinilishe maneno ndugu......

sijasema walikuepo wanawake mitume ila nimesema walikuepo wanawake manabii na wanawake walimu na leo wapo, SIJATAJA MITUME......usinilishe maneno......

by the way, unaelewa huduma ya UTUME???? ni huduma ya aina gani, na kwa kanisa la kwanza, mitume walitenda kazi katika mazingira gani?........ then kama unaelewa basi utajua kwann KRISTO hakuita wanawake wawe mitume, ila aliwaacha watoe sapoti tu.....
 
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
3,829
Likes
2,428
Points
280
Age
28
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
3,829 2,428 280
unajua kwann nimesema kuna umhimu wa kuelewa background ya wale watu waliopelekewa waraka?..........

nikupe mfano, kitabu kama wakoritho wa kwanza, ni problem solving book,,,, kwamba ni waraka aliandika ili kutatua matatzo yaliyojitokeza!.....

sasa waraka kama ule huwezi kuubeba ulivyo ukaja ku-apply tanzania, huwezi...... ndio mana tunae Roho Mtakatifu ambae anatusaidia hata leo kutatua migogoro inayojitokeza ndani ya kanisa la tanzania!!!!.......

kwaio huwezi kuelewa hasa ni nini Paulo alimaanisha mpk uelewe kwanza hao watu walikua na shida gani mpk yeye akaandika huo waraka,thats very important!!!!....

thats why, nimesisitiza ni mhimu mno mtu kusoma theolojia kabla hajakabidhiwa kanisa, ili aelewe vitu vingi ndani ya biblia.......
Yap theology Ni muhimu sana laa sivyo tutasikia mahubiri ya ajabu sana kama tunayoyasikia kwa makanisa chipukizi.

Yesu alikaa na wanafunzi wake akawarudisha ......halafu akaalete roho mtakatifu awaongoze. Lakini wachungaji wa makanisa ya leo wanapata huyo roho hajapita hata darasani.....

Hatari fayaa!
 
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
2,235
Likes
2,075
Points
280
Age
49
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
2,235 2,075 280
Kaeleza yeye au imeeleza Biblia,
Tufuate lipi,anachoeleza unaemuamini wewe au inachoeleza biblia,

Sent using Jamii Forums mobile app
samahani, naomba kuuliza........

Yesu aliposema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme ule alikua na maana gani?.....

sipo nje ya mada ndugu, naomba unisaidie hilo swali kwanza, nitakua na kitu cha kusema baada ya hilo
 
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
2,235
Likes
2,075
Points
280
Age
49
dong yi

dong yi

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
2,235 2,075 280
Yap theology Ni muhimu sana laa sivyo tutasikia mahubiri ya ajabu sana kama tunayoyasikia kwa makanisa chipukizi.

Yesu alikaa na wanafunzi wake akawarudisha ......halafu akaalete roho mtakatifu awaongoze. Lakini wachungaji wa makanisa ya leo wanapata huyo roho hajapita hata darasani.....

Hatari fayaa!
ni kweli ndugu,.....

kuna mtu alifafanua ile kauli ya "ni rahisi ngamia kupita ktk tundu la sindano kuliko tajiri kurithi ufalme" katika namna ambayo ilinishangaza.........

sasa kauli km hio, kwa mty asiejua historia ya ule ufalme miaka ile atatoa tafsiri ya ajabu kabisa.........

the same na ile kauli ya Yohana mbatizaji "tazama mwana kondoo wa Mungu..." kumbe alitamka vile ili kufit audience yake! ila watu wa leo ni wao na Roho Mtakatifu..... ndio maana watu wanakaa miaka 10 church lkn bado wachanga kiroho!
 
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
3,829
Likes
2,428
Points
280
Age
28
Mushi92

Mushi92

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
3,829 2,428 280
ni kweli ndugu,.....

kuna mtu alifafanua ile kauli ya "ni rahisi ngamia kupita ktk tundu la sindano kuliko tajiri kurithi ufalme" katika namna ambayo ilinishangaza.........

sasa kauli km hio, kwa mty asiejua historia ya ule ufalme miaka ile atatoa tafsiri ya ajabu kabisa.........

the same na ile kauli ya Yohana mbatizaji "tazama mwana kondoo wa Mungu..." kumbe alitamka vile ili kufit audience yake! ila watu wa leo ni wao na Roho Mtakatifu..... ndio maana watu wanakaa miaka 10 church lkn bado wachanga kiroho!
Tukimwambia huyo jamaa atafsiri ule mstari wa
'mwanaume asimwache mke wake ila kwa sababu ya uasherati'......

Tutaletewa tafsiri za maajabu
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,013
Likes
2,531
Points
280
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,013 2,531 280
samahani, naomba kuuliza........

Yesu aliposema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme ule alikua na maana gani?.....

sipo nje ya mada ndugu, naomba unisaidie hilo swali kwanza, nitakua na kitu cha kusema baada ya hilo
Alimaanisha ngamia hawezi penya tundu la sindano,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,013
Likes
2,531
Points
280
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,013 2,531 280
unajua kwann nimesema kuna umhimu wa kuelewa background ya wale watu waliopelekewa waraka?..........

nikupe mfano, kitabu kama wakoritho wa kwanza, ni problem solving book,,,, kwamba ni waraka aliandika ili kutatua matatzo yaliyojitokeza!.....

sasa waraka kama ule huwezi kuubeba ulivyo ukaja ku-apply tanzania, huwezi...... ndio mana tunae Roho Mtakatifu ambae anatusaidia hata leo kutatua migogoro inayojitokeza ndani ya kanisa la tanzania!!!!.......

kwaio huwezi kuelewa hasa ni nini Paulo alimaanisha mpk uelewe kwanza hao watu walikua na shida gani mpk yeye akaandika huo waraka,thats very important!!!!....

thats why, nimesisitiza ni mhimu mno mtu kusoma theolojia kabla hajakabidhiwa kanisa, ili aelewe vitu vingi ndani ya biblia.......
Kwa hyo Tanzania yakitokea matatizo km ya wale hakipaswi kitabu hicho kufundishia sababu tu haikuwahusu watanzania siyo,
Nadhani sasa imefika mahali kanisa la Tanzania kitamaduni na tabia hatuendani kabisa na tamaduni historia na tabia za wooote walioaswa jambo Fulani ktk Biblia,
Hii iliyoangazia asili na tabia za wasio watanzania tuiache maana tunapaswa kunukuu kufuatana na tabia na tamaduni za watu mahalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nkwe2RG

Nkwe2RG

Senior Member
Joined
Nov 11, 2014
Messages
123
Likes
83
Points
45
Nkwe2RG

Nkwe2RG

Senior Member
Joined Nov 11, 2014
123 83 45
Mwl, Mch OB asante. Sehemu ya pili ya somo hili naipata kwa njia gani?

Kwenye Imani nyingine wanaambiwa Roho Mtakatifu ndiye Mtume Muhamad SAW. Unawasaidiaje wasidanganywe?
Inategemea na muktadha wa aya. Pengine humtaja yeye na pahala pengine humaanisha malaika Gabriel
 
Forum statistics

Threads 1,262,487
Members 485,588
Posts 30,123,570