Je? Biashara ya vyombo inaweza kuni!!!!z! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je? Biashara ya vyombo inaweza kuni!!!!z!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Apolinary, Sep 19, 2011.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,684
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jf nadhani hamshindwi jambo lolote ikiwemo pamoja maoni mbalimbali nataka kuanza biashara ya kuuza vyombo vya nyumbani mtaji wangu ni m3 sehemu ya kuuzia ninayo lakini naona ni bora nitafute kitu cha kuchanganya hapo angalau kila siku nipate elf50
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  mkuu.... good idea , house wares itakulipa especially ukiweza kuwa na good quality. .. natafuta blender nzuri?
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,321
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  3 L's to consider; location, location, location. mkuu tafuta location nzuri..... ipo makini
   
Loading...