Je betri za Tekno ni bora kuliko za Nokia?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,453
3,203
Nimekuwa nikisikia huku mtaani ya kwamba betri za simu zinazotengenezwa na Tekno ni imara (zinakaa na chaji kwa muda mrefu) ikilinganishwa na betri za Nokia.
Naomba kujuzwa je kuna ukweli wowote juu ya hilo? Nataka kununua betri za Tekno kwa ajili ya kutumia kwenye simu za Nokia.
 
za tecno ni nzuri zaidi zinakaa muda mrefu,tatizo la nokia feki nyingi sana kuliko original
 
kwanza jua hili

simu za nokia zina mambo mengi kuliko tecno so hata utumiaji wake nokia itamaliza charge upesi. Ngoja nikupe mfano wa real life mimi nina kibajaji kinakaa sana na mafuta kabla hayajaisha wewe una land cruiser v8 fasta tu linaisha mafuta je utatoa tenki lako la mafuta ueke la kibajaji? Jibu ni hapana.

Kama unataka kununua betry kuna unit zinatumika kwenye battery hizi zinaitwa mah so ukienda dukani ni vizuri ziangalie hizi zinaandikwa kwenye kibox au nje ya battery yenyewe

blackberry-bold-9000-battery-1300mah-1.jpg

hio hapo juu ni betry blackbery imeandikwa 1300 mah

51AF%2Bk7gZwL._SL500_AA300_.jpg

hii samsung 1650 mah

nokia-bl-5c-1020-mah-battery.jpg

hii ni nokia mah

sjaeka hizo picha kushindanisha betri bali ujue namna ya kuangalia power ya battery. Betry yenye mah nyingi inakaa sana na charge. Sama kama tecno ina mah 2000 na nokia ina mah 1000 nunua tecno
 
Ahsante ndugu! Umetoa somo muhimu sana
 
Kweli kabisa Jiwe la Tekno ni noma hata kulicharge inachukua mda mrefu labda kama charger itakuwa mahiri sana. Lakini vipi zile battery za kampuni za Suparex na Discovery unapokuwa umebahatisha original
 
Naomba kujua, je voltage (V) na wats
(Wh) kwenye uimara wa simu?
Naomba kujua ya kwamba ikiwa kama
volt na wats zipo kubwa zitakuwa na
mchango wowote kwenye 'maisha
marefu ya betri'. Amani iwe kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom