Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,391
- 36,517
Sidhani kama Benard anaushawishi kwenye siasa za Tz tena,ameshasahaulika
BM badala ya kujenga hotel ya kitalii kuendeleza mji wa Lindi akajenga Mtwara kwa matarajio pangechangamka kutokana na miradi ya gesi na makaa ya mawe. Hoteli yake iko mahali pazuri sana kama angeshirikiana na wizara husika za utalii, biashara na uwekezaji ingekuwa mbali mno. Hotel NAF is located at the best sea view and mangrove trees outlet advised to book for your reservations.
Yah! Aliwahi kuwa mpinzani wa jiwe,lakini hakuwahi kiwa mpinzani wa ccm,so akirudi ccm ni sawa tu.Kwani aliwahi kuwa mpinzani?
Ila hadi dakika 180 za nyongeza zinaisha hakufanikiwa hata kufika katikati ya uwanja!Mzee wa dakiKa ya 90
Una umri gani? Maana nimecheka mpaka basi.Ila membe hatokuja kumsahau zitto kwa kumpandisha juu ya meza eti ndio jukwaa
Lete picha.Ila membe hatokuja kumsahau zitto kwa kumpandisha juu ya meza eti ndio jukwaa
Vipi haikubomolewa na mwendazakeBM badala ya kujenga hotel ya kitalii kuendeleza mji wa Lindi akajenga Mtwara kwa matarajio pangechangamka kutokana na miradi ya gesi na makaa ya mawe. Hoteli yake iko mahali pazuri sana kama angeshirikiana na wizara husika za utalii, biashara na uwekezaji ingekuwa mbali mno. Hotel NAF is located at the best sea view and mangrove trees outlet advised to book for your reservations.
Nimemuona mtu kama yeye leo kwenye Defender nyeupe akiwa amepakia magunia kibao. Cjui katoka shamba kuvuna!Bila ya shaka Kikwete na Mkewe wanampigia debe arudishwe ili akagange njaa. Nasikia hali yake kifedha si nzuri hivyo kama kweli atarudi basi sidhani kama atakosa teuzi kubwa ya ubalozi katika nchi za BEBERUS au hata UN.
Hapana tena imeboreshewe vizuri sana barabara inaambaa na bahari unafurahia upepo mwanana. Kasoro ni yeye kutoipaka rangi ya kuvutia kulingana na mazingira na upendeleo wa watumiaji. Mkuu unakaribishwa Shangani highway Mtwara, ilibaki kidogo tu iwe jijiVipi haikubomolewa na mwendazake
Umeongea ukweli mtupu bwashee!Chama msingi wake ni wanachama,acha arudi nyumbani sasa,kazi ameifanya vema.
Muulize mambo baadaye,atakueleweshaUshahidi tafadhali