Je, BBC Tumbili Service, Amnesty International na Human Rights Watch hili hamjui?

Tumbili ni wewe

Ni wewe kwa sababu kwavile fulani ananyea chakula na wewe unahalalisha kunyea chakula!

Yaani kwavile Juma anaua watu basi na mimi ni halali yangu kuua watu!

Hizi stupid equivalencies sijui mnazitumia kuhalalisha upumbavu mnaofanya ili iweje!?

Assange anafanyiwa ubaya ndio maana watu wote duniani tunalaumu na kumtetea!

Walao hata Western world mtu anapewa due process ya kisheria,walao!

Ingekua huku mavumbini ushenzini Assange angeuawa mchana kweupe kama Lissu alivyoponea!
Basi wewe ni SOKWE
 
Back
Top Bottom