Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,794
Mojawapo ya jumuiya zenye nguvu na zilizojikita vema hapa nchini hasa kwenye miji mikuu na midogo ni jamii ya Wasomali... Jamii hii imekijikita zaidi kwenye biashara na uwekezaji mwingine hasa ufugaji, kilimo na ardhi... Wengi wanaweza kunipinga lakini hawajui huu ukweli kwakuwa kwa sehemu kubwa jamaa hawa wamejitenga na dunia ya habari... They are low profilers....!!!!! Wanasiasa wanawahitaji sana wafanyabiashara kufanikisha jambo ama mambo yao... Money talk,... Money is everything....!!!!
Jamii hii pamoja na kucheza chini kwa chini lakini naweza kusema ni jamii inayoogepeka japo hatuwezi kukiri wazi na kwa hakika.... Ni jamii yenye umoja sana unapogusa maslahi yao ama damu yao... Tumeona wenzetu majirani zetu wakenya kinachowapata..... Wana umoja, ushirikiano na mshikamano wa nguvu kupitia mitandao yao waliojijengea kwa muda mrefu sana Africa na duniani kote kwa ujumla....!!!
Hawa jamaa ukiwakuta wanagombana uakwaingili... Watakugeukia wewe kwanza kisha wakishakutia adabu ndio wanaendelea na ugomvi wao.... Ni mojawapo ya Jamii zisizoruhusu ndoa na mgeni...
Bashe Hussein ni Mtanzania mwenye asili ya Somalia.... Ni kijana machachari na naweza kusema msumbufu ndani ya CCM kama walivyo vijana wenzake wote waliokuwa naye kundi moja....!!! Haogopi kusema kile anachoamini ni sahihi kwake japo pia unafiki anao.....
Wasumbufu wenzake karibia wote wameshashughulikiwa na wengine sasa hata wakitaka kuongea huangalia kushoto na kulia kwanza kabla ya kuongea.. Wametiwa ganzi hawafurukuti tena kama zamani..... Lakini yeye bado tunamuona akijinafasi kwa raha zake?
Hili deko lake hili na hiki anachoringia kuna siku vitaota mizizi na kuwafanya kitu kibaya mno....
Magugu hung'olewa wakati wa palizi yakiwa bado mateke na machanga.... Tumeyaona haya kwa bash boy.....
Jr