Je, bado inafaa kwa wanasiasa wa upinzani kupima corona ndani ya nchi hii na hasa wabunge wa upinzani kupimwa corona Bungeni kama ilivyotangazwa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Baada ya Makonda kutangaza mtoto wa Mbowe kuwa ameugua korona,jambo ambalo lina muelekeo wa kisiasa,naanza kujiuliza kama bado ni sahihi(salama) kwa wapinzani kupima ugonjwa huu humu ndani ya nchi na hasa wabunge wa upinzani ambao watapaswa kupimwa sambamba na wenzao wa CCM kabla ya kushiriki vikao vya Bunge' vinavyotarajiwa kuanza tarehe 31/03/2020.

Kama baadhi ya wenye mamlaka wameanza kuchanganya siasa katika hili janga,najiuliza tu kama jambo hili litaishia kwa Mbowe tu na si kwa wanasiasa wengine wa upinzani.

Kwa wasio na taarifa,kusudio la kuwapima wabunge lilitolewa na kuripotiwa na vyombo vya habari kama unavyoweza kujisomea habari husika kupitia link ifuatayo:

Wabunge wa Tanzania waliosafiri nje ya nchi kupimwa kabla ya
 
Waende ubelgiji wakajipime.
 
CORONA SIO SIRI,MAWAZIRI NA VIONGOZI WENGI DUNIANI WAMEJITANGAZA.

ACHA UJINGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom