Je baada ya sensa Watanzania tuko wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je baada ya sensa Watanzania tuko wangapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kennedy, Oct 5, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,270
  Likes Received: 2,948
  Trophy Points: 280
  Baada ya sensa kufanyika ikikabiriwa na dosari za hapa na pale kama wengine kusema hawahesabiwi na watu wengine kuhesabiwa vizuri. Sensa ya mwaka huu pia mifugo nayo kama mbuzi,kuku,bata n.k imepata nafasi ya kuhesabiwa. Naona kimya kimetanda ndiyo bado wanajumlisha au hata jumla yetu tuko wangapi pamoja na mifungo ni SIRI? Tafadhali mwenye kujua kwasasa kinachoendelea na idadi yetu km imeongezeka atujuze hapa.
   
 2. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hiyo ela bora wangewapa hata wanaf.wa chuo kama ongezeko la bumu kwenye field,o madawati na chakula cha mchana kwenye shule za kata.Hakuna walilofanya,Wiizi mtupu,wapo kwenye compilition bt data zitakua ni uongo mtupu nilivyokuwa naona wanafanya.Bora wangewapata hata Makasisi,wachungaji,mashehe.Tungepata data sahihi at least
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Takwimu zitatolewa rasmi mwisho wa mwaka.
   
 4. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  December..!!!
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hv mpk leo inajumlishwaga tu??


  Hiyo ndiyo ccm jamani!
   
Loading...