Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,060
- 22,755
- Thread starter
- #21
Mkapa aliiba mamilioni, akaja Kikwete akaiba mabilioni, akaingia dhalimu mwandakuzimu akaiba matrilioni sijui anayefuatia ataiba ngapi...maquadrilioni? Yupi kati ya hao wote hakusukumiziwa madaraka na chama king'ang'anizi kilichochoka CCM? Halafu tunashangaa kwa nini nchi masikini! Kweli adui wa taifa hili ni CCM.Ukiwa na akili finyu utasingizia wasioonekana au ujumla ili ufiche umoja. Mfano adui wa nchi hii ni CCM! Hivi una akili kweli? CCM haiwezi kuwa baya bali watu binafsi walio katika CCM. Aliyeasisi Wizi wa Escrow ni JK, unaogopa kumtaja unaitaja CCM. Lazima muondokane na akili za upunguani kuhangaika na ujumla baadala ya umoja ili kuinusuru nchi yetu.