Je, Avatar yako ina maana gani?

Avatar yangu inaonesha mengi ya SANAA, ila pia lile jicho ninalowaangalia mafisadi, wadini, wajaa laana laaanut!

all in arts for arts to arts
 
Avatar yangu inaonyesha maisha halisi tunayoishi uku vijijini kwa maana ya makazi. Karibuni


Maneno yako ni sahihi kabisa, hayo ndo maisha halisi ya vijijini huku mafisadi wakiishi maisha ya dunia nyingine kabisa
 
Avatar yangu ni picha moja nilipiga nikiwa nyumbani , Can u see Mt Kilimanjaro in the background? if you can't please imagine.
 
ya kwangu,macho ya blue ya hiyo avatar ndio nimependezwa nayo,inaendana na jina kifaru.
 
Avatar yangu ni picha moja nilipiga nikiwa nyumbani , Can u see Mt Kilimanjaro in the background? if you can't please imagine.

nyie wakenya kwanini jamani mnatake advantage kwenye mlima wetu waTZ??.
khaaa, acheni bana mambo yenu.
 
Ya kwangu inaonesha dume lililoko nyumbani kwangu. Taifa la kesho la Tanzania huru bila ufisadi
 
Ni avatar ya kimey hiyo watoto wanakula ndumu

dah, FL umenichekesha sana, umenikumbusha hilo jina long timeeeee enzi hizo shule bangi lina majani mengi sana ulishawai kutumia nini dude lile??(sore, off-topic!)
 
ya kwangu ni kijana aitwaye curtis jackson aka 50 cent...ni mapenzi yangu kwa watu wanao-fight hard to get whatever they want no matter what it takes...n they dont care at all....GET RICH OR DIE TRYIN.....b4 i self distruct.....mzee wa kujilipua
 
Mine is about hip hop icon who is inspirational, talented, real, cool, offensive,...need I say more?
 
Back
Top Bottom