Je, Askofu Gwajima alikwenda Police central kuwajulia Hali wenzie?

IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,913
5,213
Juzi jumapili kwenye misa katika kanisa la ufufuo na uzima, Askofu Gwajima aliahidi kwenda jumatatu kuwajulia hali bwana Yusuph Manji na wenzie aliowaacha mahabusu police central. Ila jana sijasikia kama alienda. Je ni kweli hakwenda jana?
 
Jana alipangiwa aka report polisi..
Ndio mana akasema ataenda kuwajulia hali wenzake.
Idd Azzan nina uhakika alienda kwani ilitangazwa ila baba Askofu Sijajua kama alienda.
 
Back
Top Bottom