Je Arsenal itaongoza kwa pointi nne zaidi leo?

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
13,269
2,000
Timu za leo

Mechi ya kwanza kwa kocha wa Spurs Juande Ramos na ushindi kwa Gunners leo utaiweka kileleni mwa Premier League hata wakti wa Xmas!

Arsenal: Almunia, Sagna, Toure, Gallas, Clichy, Eboue, Fabregas, Flamini, Rosicky, Hleb, Adebayor.
Benchi: Lehmann, Senderos, Eduardo, Gilberto, Bendtner

Tottenham: Robinson, Tainio, Chimbonda, Kaboul, Lee, Lennon, O'Hara, Boateng, Malbranque, Berbatov, Keane.
benchi: Cerny, Defoe, Taarabt, Huddlestone, Archibald-Henville.

Referee: Rob Styles (Hampshire)

Uwanja- Emirates

Interesting.
 

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
13,269
2,000
Bila shaka.

Arsenal sasa inaongoza kwa point 43 ina magoli 21 imetoa sare nne imefungwa mchezo mmoja na imecheza mechi 18, imeshinda 13 na imepoteza mechi iitwayo (game in hand) ambayo ilikuwa ni dhidi ya Middlesbrough.

Sio mbaya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom