Je Anna Makinda ni MLEYMAN

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Ndugu wanajamii naomba kujua profession ya spika wetu wa bunge kwani naona ameanza kufukia hoja za msingi bungeni...........alitakiwa atoe muongozo pate Hon.tundulisu alipotoa hoja lakini alifukia.....mlimuona mr. sita alivyo kuwa ana haahaa bungeni kutafuta majibu?nafikiri uspika unaitaji mtu anaejua sheria zinaendaje......wewe kwani unaonaje..
 
Back
Top Bottom