Je anaweza kusoma degree(bachelor ya education) bila kupitia diploma ya ualimu?

mr.chengachenga

Senior Member
Mar 6, 2014
149
99
Habari wana JF.

Kama kawaida hapa JF ni shule nzuri yenye mtaala huru. Naomba kujua kama mtu amesoma ualimu Grade iiiA na anataka degree kwa kupitia open university na o level alipata iv ya 26 yaani ana credit mbili na D flat halaf baadae alirudia (PC) Akaongeza credit zingine mbili.

Kumbuka ana GPA ya 3.7 ya ualimu wa msingi.
Je,mtu huyu kuna namna anaweza kusoma degree (bachelor ya education) bila kupitia diploma ya ualimu?
Naomba majibu wadau .
Shukrani kwenu woteee
 
fanya mtihani wa kidato cha sita pata D 2 MBILI na kuendelea kisha soma degree..
 
na kwa kuwa una ajira soma masomo ya arts ndo laini kufaulu form 6 na chuo ...pcb & pcm hizo ww kwa mazingira yako hazikufai kwa ss.
 
Back
Top Bottom